kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
nimekaa najiuliza zama za ujana wangu miaka 10 iliyopita nilivyokuwa mungu alini nusuru na magonjwa ili niweze kushuhudia leo wanawake zaidi ya mia waliwahi kuniambia oho nina mimbva yako .lakini sijaitwa mpaka sasa au kutajwa au vile mi sio maarufu kama lowasa ,au mi sio kiongozi wa dini ..msiponitaja mimi nitaamini hilo zoezi bure kabisa