Jamani likaka langu limelogwa

Duh!i hii kali.............Yaani ukisoma post moja baada ya nyingine unaelewa....

kumbe JF MMU inaweza kuwa mahakamana ndogo.. lazima JF ipate Nobel Prize..

Kwa kweli jamani hili hata mimi nashindwa kukubali, labda sasha kasema tu kwa hasira ya kumchukia wifi yake. Yaani kweli mtu amtukane mamako na wewe unakubali? Kwa hili kama ni kweli basi kuna mushkeri mkubwa kwa huyu bwana kaka.

<br / pamoja na hasira alizokua nazo sasha wakati anaandika post hii lkn NATHIBITISHA KW WIFI HUYU KAMWAMBIA MAMA Y2 KM HN PA KUPATA HELA AKAIBE

mi kwa mtazamo wangu naona ni bora kama mmeamua ninyi wanne kumsaidia mama yenu muendelee huyo kaka yenu hajalogwa wala nini inaonekana nyie mnaogopa majukumu.

<br / ha2ogopi majukumu ya kumlea mama yt kwani ss wakike wa4 pamoja na waume ze2 tunashrikiana kumtunza mama ila tangu kaka y2 aoe amekuwa na tabia ya dharau kwa mama wl hamthamini ht kdg anathubu2 kusema hela ya bia na disko anayo ila ya matumiz ya mama hana

Huyu dada ana roho mbaya sijawahi ona ..anashindwa hata kumsaidia mama aliyemzalia mmewe.
Hajua kama bila huyo mama yeye asingemjua hata huyo mme.
Kila kitu kina mwisho .
Poleni sana inabidi muanze kutafuta namna ya kumsaidia mama yenu .

Hivi Sasha Girl ndo Angel Msoffe ?

kakolo inategemea hali na mazingira kama uwezo wa kumsaidia mama yako upo kwanini asisaidiwe
Na unaweza kuta ktk familia labda mwenye hali nzuri ni Kaka yao.
Hivi kama mama anaona ana uweza wa kupata pesa sehemu nyingine kwa nini aombe kwa mwanae wa kiume?
Pesa ni nini lakini mie simtetei huyo mwanamke bado naona ana makosa
Kwa mie Binafsi mama aliyenizalia mme wangu namuheshimu na kumuona kama ni mama yangu mzazi.
najua binadamu wote tunamapungufu lakini"lile neno lilosema mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake"
mwenyewe ni kama hili"Hivi leo akipata tatizo na mmewe wa kwanza kumkimbilia ni mama mkwe.
Kwa nini amjibu mama mkwe wake majibu ya ajabu namna hiyo
Kwanza hana adabu
Pili hana hekima
Tatu naona kama hafai kuwa mke ambaye anaweza kujenga ndoa yake.
Nne huyo atakuwa sio mama bora hata watoto anaozaa atakuwa anawafundisha uchoyo na tabia mbaya
Kuna leo na kesho ataacha watoto wake katika mazingira magumu sana

Kwe2 kila m2 anafanya kaz na anajitegemea hakuna anayemtegemea mwenzie wl hakuna anayerushaga mguu kwa kakay2 ktkn na tabia za mkewe, huyu wifi hana mfano hp tz ukienda kwake kusalimia wkt anaandaa chakula anakuuliza utakula nipike na shea yk? Kwakweli ht maji ha2nywagi, akienda kusalimia kwao na kwe2 atafungasha v2 kibao aite ndugu yk amsubir njiani ashushe mizigo yt ipelekwe kwao kwe2 anaenda mikono mi2pu na akifika kwe2 ana2mia vi2 2livyompa mama, VISA VYAKE NI VING SN TN VYA AJABU NA AIBU HAVIFAI HATA KUELEZEA M2

Matron hawa ni sisters.....
Mi nilikuwa nasubiri nimsikie na FLORA MSOFE, SIJUI NAYE NI DADA YAO?

<br / no simjui mtu huyo

Matron hawa ni sisters.....

Mi nilikuwa nasubiri nimsikie na FLORA MSOFE, SIJUI NAYE NI DADA YAO?

TEHEHEHEHEHE NAPITA TUUU

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…