wamuache kabisa sio kusumbua mtu na familia yake.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

wamuache kabisa sio kusumbua mtu na familia yake.

Kwa kweli jamani hili hata mimi nashindwa kukubali, labda sasha kasema tu kwa hasira ya kumchukia wifi yake. Yaani kweli mtu amtukane mamako na wewe unakubali? Kwa hili kama ni kweli basi kuna mushkeri mkubwa kwa huyu bwana kaka.
Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.
mi kwa mtazamo wangu naona ni bora kama mmeamua ninyi wanne kumsaidia mama yenu muendelee huyo kaka yenu hajalogwa wala nini inaonekana nyie mnaogopa majukumu.
ivi wewe sasa kwani mtoto wa kiume ndo anapaswa kumtunza mama yenu kwanini kimekuuma sana?unaonekana we ndo bahili kuliko huyo kakayako

mi cdhani kama huyo wifi yao ana upungufu wa akili amtukane mama mkwe wake bila sababu hyo miaka waliyoishi mbona hakua ivo?
mkasa uliowakumba ni mkubwa poleni sana.kwani ninyi ni wakazi wa wapi?
Bro kastukia ishu, si unajua wanaendaga kushinda wanamkuta yuko bize na jei ef??Dah! I can smell something here! but acha niuchune tu.
Karibuni utabiri wangu utatimia!
Aisee! wewe kweli greti thinka! kwa hii ishu inavyotambaa nadhani kesho ataibuka mke wa bro mwenyewe. Dah!Bro kastukia ishu, si unajua wanaendaga kushinda wanamkuta yuko bize na jei ef??
wamemsukumia hukohuko alibebe

Dah! I can smell something here! but acha niuchune tu.

Karibuni utabiri wangu utatimia!
Sipati picha, na kesho kina wifi havijawa watakuwa macho pia, sipati picha, kweli wewe ni GT,hivi sasa kaka si umtoe tu mama na ufifty jamaniAisee! wewe kweli greti thinka! kwa hii ishu inavyotambaa nadhani kesho ataibuka mke wa bro mwenyewe. Dah!
let me remind u kuwa mwanaume atamwacha mama yake na baba yake nea ataambatana na mkewe same applied 2 a woman, nao watakua mwili mmoja,so sasha girl,mwili mmoja hufanya jambo moja, kaka yako hana tym ya kuwasaidia,so her wife..... ''pesa c ishu' hahahahhahaaaaa...kwenu nyie,ni issue,tena bonge la issue mamaa,tht z y ikakutach ukasend thread jf. anyway,poleni kwa matatizo
Hilo siyo tatizo maana wa mama na mawifi huwa Hawakubali kwamba mtoto Wa kiume akioa anakuwa na majukumu pia. Wao hasa mawifi huwa hawamuheshimu mke Wa kaka yao yaani wana muona kama house girl tu wa kaka yao. Ndugu huwa wana mdharau wifi hadi na yeye sasa anaamua kusimama kidete. Ukiisoma hiyo story inaonekana hao 4 wame team up against huyo wifi kwamba ame mtwist kaka yao. Ukweli hapo unaanzia kwenye dharau za ndugu ndio maana na yeye amefikia hadi kujibu meseji. Kitu kama jiko si la kumuomba kaka Hilo ni madada na wifi wanalimaliza. Haiwezekani jiko tuu la elfu 50 sijui mama atume meseji kwa mwanae. Hiyo meseji ingetumwa kwa mke wa kaka yao jiko lingenunuliwa siku hiyohiyo na kupelekwa. Wadada ukiwachekea watakuja kubeba hata vitunguu kisa VYA KAKA YETU. Huyo wifi yuko sahihi KABISA.Maoni yangu samahani kama nimemkwaza mtu.
Likaka litukutu

mi cdhani kama huyo wifi yao ana upungufu wa akili amtukane mama mkwe wake bila sababu hyo miaka waliyoishi mbona hakua ivo?

Likaka litukutu
Funguka kaka Chuji tujue mbivu na mbichi ziko wapikweli mama ni ishu nyingine kwakweli.ila anayekufaa ndo ndugu yako kuna mambo yanakera kaka unaezatamani uzame ardhini mpaka m2 afike hapo kweli anajua amefikwa na maji ya shingo