Jamani likaka langu limelogwa

Jamani likaka langu limelogwa

mi kwa mtazamo wangu naona ni bora kama mmeamua ninyi wanne kumsaidia mama yenu muendelee huyo kaka yenu hajalogwa wala nini inaonekana nyie mnaogopa majukumu.
 
ivi wewe sasa kwani mtoto wa kiume ndo anapaswa kumtunza mama yenu kwanini kimekuuma sana?unaonekana we ndo bahili kuliko huyo kakayako
 
mi kutokana na uzoefu wangu nafahamu wazi mawifi hua wanakua na wivu sana na kakayao bila kujua akishaoa anakua na majukumu na familia yake izo pesa c zenu muhudumieni mama yenu kama mna uwezo punguzeni majungu
 
Kwa kweli jamani hili hata mimi nashindwa kukubali, labda sasha kasema tu kwa hasira ya kumchukia wifi yake. Yaani kweli mtu amtukane mamako na wewe unakubali? Kwa hili kama ni kweli basi kuna mushkeri mkubwa kwa huyu bwana kaka.
<br />
<br />mi cdhani kama huyo wifi yao ana upungufu wa akili amtukane mama mkwe wake bila sababu hyo miaka waliyoishi mbona hakua ivo?
 
angel, mfundishe mama yako kitu kimoja. kulia machozi ni kumpalia mkaa mwanae, manake Mungu atamchapa. na mama ataumia zaidi kumuona mwanae anapata shida. muambie mama, "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, ambaye amamfanya mwanadamu kuwa kinga yake''. Mungu ana njia nyingi za kuwasaidia watu wake. hata kwa kuwabariki nyie watoto wa kike, muweze kumsaidia mama yenu, ni njia ya Mungu kuendelea kumtunza mama. so, muambie aendelee kumshukuru Mungu. hata church tukiombea sadaka, tunawaombea na wale waliokosa cha kumtolea Mungu ili next time wasikose cha kutoa. poleni sana kuhusu kaka yenu, lakini hongereni kwa kusimama kwa zamu zenu. jinsia put aside!

Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.
 
mkasa uliowakumba ni mkubwa poleni sana.kwani ninyi ni wakazi wa wapi?
 
mi kwa mtazamo wangu naona ni bora kama mmeamua ninyi wanne kumsaidia mama yenu muendelee huyo kaka yenu hajalogwa wala nini inaonekana nyie mnaogopa majukumu.

ivi wewe sasa kwani mtoto wa kiume ndo anapaswa kumtunza mama yenu kwanini kimekuuma sana?unaonekana we ndo bahili kuliko huyo kakayako

<br />
<br />mi cdhani kama huyo wifi yao ana upungufu wa akili amtukane mama mkwe wake bila sababu hyo miaka waliyoishi mbona hakua ivo?

mkasa uliowakumba ni mkubwa poleni sana.kwani ninyi ni wakazi wa wapi?

Dah! I can smell something here! but acha niuchune tu.
Karibuni utabiri wangu utatimia!
 
Aisee! wewe kweli greti thinka! kwa hii ishu inavyotambaa nadhani kesho ataibuka mke wa bro mwenyewe. Dah!
Sipati picha, na kesho kina wifi havijawa watakuwa macho pia, sipati picha, kweli wewe ni GT,hivi sasa kaka si umtoe tu mama na ufifty jamani
 
Hilo siyo tatizo maana wa mama na mawifi huwa Hawakubali kwamba mtoto Wa kiume akioa anakuwa na majukumu pia. Wao hasa mawifi huwa hawamuheshimu mke Wa kaka yao yaani wana muona kama house girl tu wa kaka yao. Ndugu huwa wana mdharau wifi hadi na yeye sasa anaamua kusimama kidete. Ukiisoma hiyo story inaonekana hao 4 wame team up against huyo wifi kwamba ame mtwist kaka yao. Ukweli hapo unaanzia kwenye dharau za ndugu ndio maana na yeye amefikia hadi kujibu meseji. Kitu kama jiko si la kumuomba kaka Hilo ni madada na wifi wanalimaliza. Haiwezekani jiko tuu la elfu 50 sijui mama atume meseji kwa mwanae. Hiyo meseji ingetumwa kwa mke wa kaka yao jiko lingenunuliwa siku hiyohiyo na kupelekwa. Wadada ukiwachekea watakuja kubeba hata vitunguu kisa VYA KAKA YETU. Huyo wifi yuko sahihi KABISA.Maoni yangu samahani kama nimemkwaza mtu.
 
let me remind u kuwa mwanaume atamwacha mama yake na baba yake nea ataambatana na mkewe same applied 2 a woman, nao watakua mwili mmoja,so sasha girl,mwili mmoja hufanya jambo moja, kaka yako hana tym ya kuwasaidia,so her wife..... ''pesa c ishu' hahahahhahaaaaa...kwenu nyie,ni issue,tena bonge la issue mamaa,tht z y ikakutach ukasend thread jf. anyway,poleni kwa matatizo

r u frm old moshi?lol
 
Hilo siyo tatizo maana wa mama na mawifi huwa Hawakubali kwamba mtoto Wa kiume akioa anakuwa na majukumu pia. Wao hasa mawifi huwa hawamuheshimu mke Wa kaka yao yaani wana muona kama house girl tu wa kaka yao. Ndugu huwa wana mdharau wifi hadi na yeye sasa anaamua kusimama kidete. Ukiisoma hiyo story inaonekana hao 4 wame team up against huyo wifi kwamba ame mtwist kaka yao. Ukweli hapo unaanzia kwenye dharau za ndugu ndio maana na yeye amefikia hadi kujibu meseji. Kitu kama jiko si la kumuomba kaka Hilo ni madada na wifi wanalimaliza. Haiwezekani jiko tuu la elfu 50 sijui mama atume meseji kwa mwanae. Hiyo meseji ingetumwa kwa mke wa kaka yao jiko lingenunuliwa siku hiyohiyo na kupelekwa. Wadada ukiwachekea watakuja kubeba hata vitunguu kisa VYA KAKA YETU. Huyo wifi yuko sahihi KABISA.Maoni yangu samahani kama nimemkwaza mtu.

Hebu acha hizo bana, mm nina bibi yangu amesha staafu na hivi sasa watoto wake wote 10 wanamsadia tena kwa michango kabisa wana changishana kila mwez, watoto wake hao wote wameoa/kuolewa na wana familia.

Kuwa na familia sio sababu ya kumsahau mama yako uliyekuweka tumbon kwake miez 9 na akakuzaa kwa uchungu.
Nani kama mama dunia hii.

Mara kumi ungesema dada yani wifi ningekuelewa lakini mama?! Mama?!
Mkuu heshim aliyekuzaa mke kitu gani mnakutana tu barabarani!
 
kweli mama ni ishu nyingine kwakweli.ila anayekufaa ndo ndugu yako kuna mambo yanakera kaka unaezatamani uzame ardhini mpaka m2 afike hapo kweli anajua amefikwa na maji ya shingo
 
kweli mama ni ishu nyingine kwakweli.ila anayekufaa ndo ndugu yako kuna mambo yanakera kaka unaezatamani uzame ardhini mpaka m2 afike hapo kweli anajua amefikwa na maji ya shingo
Funguka kaka Chuji tujue mbivu na mbichi ziko wapi
 
Makaka almost wote hurogwa mbona hapo bado?sisi tulioa pemba hiyo ni cha mtoto,mtakuwa hamumuoni tena hy kaka yenu,rizikeni na hako mnakokapata.
Old Moshi ladies ?aaaaaaaaaaaaaaaaaaaah kiboko lkn hawajawafikia huku ukweni kwangu,unajikuta mwenyewe unamuuliza jamani wakwe wako safi huko?wakati mama yako anaoga maji bila sabuni,lkn tumezoea. Pole dada.
 
Back
Top Bottom