Navopendana na mkwe naomba Mungu asinibadili hata nikija olewa tuwe hivihivi, loooo nisione kitende mwenzangu nachukua, yaani huyu mama mungu amzidishie, akisafiri zawadi naletewa hata ofisini, akitaka kumwambia kitu mwanawe sometimes ananipigia simu, looo nahitaji nini tena,labda gunia la chawa nijikune mpaka kunakucha,Najiandalia mwenzangu makao yangu,huyu dada dawa yake ndogo sana na iko jikoni, Mungu hawezi angalia huyu mama akiteseka na kutukanwa kiasi hiki, imagine wadada tumbo linavyotesa, leo hii nitukanwe kweli, kwa kweli leo nimeelewa kuna baba mmoja alimtolea dudu yake mwanawe wa kiume, akamwonyesha unaona hiki kitundu ndio nilikukojoa hapa, sasa endelea na unayoyafanya....imagine hiyo ni laana ya aina gani