Taratibu mama yangu mwe............unajua the way alivyoiweka mtoa mada ni wazi kuwa mahusiano yao si mazuri na hatujui imekuwaje yakafika hapo yalipofikak. Mytake inawezekana kabisa huyu mke amekuwa provoked kwa muda mrefu na kwa kila aina ya ushari sasa kaamuwa kuwatolea uvivu......... besides amemjibu mkwewe kuwa wanajenga mie nampa benefit of doubt (ndio si heshima kumjibu dry mkweo) but tungejua pia heshima anayojipa huyo mkwe!! Kusema ukweli maisha ya ndoa/uhusiano kati yangu na mkwe wangu nategemea uwe wa kirafiki sana tu awe mama yangu...........kitendo cha yeye Mama Mkwe kwenda kumlilia mume wangu shida pasipo mie kujua kinanipa utata kidogo (samahani kama mie nimelelewa tofauti mtanisamehe) but ningetegemea kuwa hiyo operation mie mwanae ninajua na shida yoyote we talk na saa ingine hana haja ya kuomba.

Tutamjudge huyu mke kwa kosa la kujibu dry (si heshima ndio) but also hatutampatia Sasha sympathy kwa kuwa hatuujui upande wa pili wa shilingi nyumba kubwa,

Hilo la Mama mkwe kumwomba mwanae pesa bila mkwewe kujua,........ ni thread ya peke yake. Na kama si tatizo iweje basi aloombwa akalifikishe tena kwa mkewe???!! au ndo mtasema karogwa??

Kwakweli mimi nadhani kumwambia mama akavunje benki ni kutokuwa na mipaka na ujeuri, kuna leo na kesho, huyo ni mzazi tu jamani apewe heshima amekosea kujibu hivyo angesema tu hana thts ok.

Mimi napenda sana kusoma vitabu vya Suze Orman huyu huandika abt finances and also women and money, sheria moja ninayoitimiza ni kuwa honest about my financial situation, kama kweli sina uwezo mimi sina tu na nitasema kwanini sina uwezo huo,

Sheria nyingine ni kuweka emergency fund, hii inaaply kama mama mkwe anahitaji hiyo operation manake sisi wengine we r lucky kwa mume kuna medical insurance na kwangu kuna medical insurance lakini wazee hawana na ni wazee wetu, kwakweli hata kama sina uwezo nitakopa nimtibie mzazi au mkwe wangu its that simple.

Anyways ukweli mimi najitahidi sana kuelewa mkwe akimuomba mtoto wake, kwani hata mimi mama ninamsaidia hata bila kuniambia, mume nampa taarifa tu! Na kwa mume wangu mimi mama mkwe wangu ananifuata mojakwamoja na wala sioni shida tena napenda wasaidiwe wapate income fulani ili wasiwe tegemezi, bahati nzuri both sets of parents are still working...hivyo ni shida ndogondogo tu
Hata hivyo mama ni mama, wote tumetoka tumboni kwa mama, usimkashfu mama wa mwenzio ilhali na wewe una uzazi na utaitwa mama,
Huyo kaka yako ni jinga hata kama umeambatana na kuwa mwili mmoja na mkeo, bado unawajibika kumtunza mzazi wako esp suala la afya, siwezi kukaa nyumba ya ghorofa na mzazi wangu anakaa nyumba ya udongo kisa nimeambatana...heck no! Mama yangu nitamheshimu na kumsaidia kwa kadri Mungu anavyonipa neema hao ndio Mungu wa dunia, mama mkwe wangu hali kadhalika wala sioni tabu kabisa,
Nina mipaka yangu ya kutoa but when it comes to mom..nothing matters