bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
<br />BAK, kwa mwanamke mwenye busara, akiingia tu anaweka ukaribu wa kutosha na mama mkwe na wifi zake. that way (its a strategy too,knw!) inakuwa rahisi hata kusimamia baadhi ya mambo. trust me, kuna vitu vinaweza kuwa na maana kwa mama yako ila ww usielewe na mkeo akaelewa na kumpa support! ila sasa kama mwanamke mwenyewe umeoa ana matusi namna ya huyu mu-oldmoshi, hata mamake mzazi atakuwa anamkimbia. hakuna haja ya kutumia lugha kali kwa mtu aliyekuzidi umri, isitoshe kiasi kwamba anaweza kuwa mzazi wako. huyu mama hata mumewe atakuwa anamtukana hivi hivi, manake kama mtu anajibu msg za mamako kwa kashfa na wewe unakubaliana nae! well, im sorry to say huyu kaka nae yuko weak sana! i guess i love a masculine man!
<br />
My dia ai ndo huu ukaribu wakati mwingine tunaonywa tuepuke maana watatuzoea hadi chumbani?
Anyway, nimependa point yako, kwa kweli mimi huwa naona italeta mtafuruku zaidi kupigizana kelel na mama mkwe kuliko hata mzazi wangu (japo sipendi iwe hivi)
Bora niongee na mume wangu tena kwa busara tujue la kufanya ktatua tatizo na si kumraukia mama yake.
Kikombe hiki kiniepuke....