Jamani likaka langu limelogwa

Jamani likaka langu limelogwa

BAK, kwa mwanamke mwenye busara, akiingia tu anaweka ukaribu wa kutosha na mama mkwe na wifi zake. that way (its a strategy too,knw!) inakuwa rahisi hata kusimamia baadhi ya mambo. trust me, kuna vitu vinaweza kuwa na maana kwa mama yako ila ww usielewe na mkeo akaelewa na kumpa support! ila sasa kama mwanamke mwenyewe umeoa ana matusi namna ya huyu mu-oldmoshi, hata mamake mzazi atakuwa anamkimbia. hakuna haja ya kutumia lugha kali kwa mtu aliyekuzidi umri, isitoshe kiasi kwamba anaweza kuwa mzazi wako. huyu mama hata mumewe atakuwa anamtukana hivi hivi, manake kama mtu anajibu msg za mamako kwa kashfa na wewe unakubaliana nae! well, im sorry to say huyu kaka nae yuko weak sana! i guess i love a masculine man!

My dia ai ndo huu ukaribu wakati mwingine tunaonywa tuepuke maana watatuzoea hadi chumbani?

Anyway, nimependa point yako, kwa kweli mimi huwa naona italeta mtafuruku zaidi kupigizana kelel na mama mkwe kuliko hata mzazi wangu (japo sipendi iwe hivi)

Bora niongee na mume wangu tena kwa busara tujue la kufanya ktatua tatizo na si kumraukia mama yake.

Kikombe hiki kiniepuke....

Afu usemi wa what goes around comes around una apply hapa pia. Kwani huyo mwanamke hana watoto? Ngoja atapata wakwe wa kumtwanga mangumi na si kumtukana tu. Malipo duiniani. Hamna kitu kibaya kama kumfanya mzazi atoe chozi na kujutia kukuzaa.
hhhhahaha nyumba kubwa so inawezekana na huyo mama mkwe naye hii ndo comes around yake !! Kuwa naye ndo anayapokea malipo yake sasa?
Hii mada bwana!

Nadhani hilo la ku address kabila mumsamehe bure ni hasira tu. Ndiyo maana hata tukiolewa wazazi wanatuambia tu behave otherwise ndiyo mnatukanwa ukoo mzima! Mfano dada yako akiolewa akawa na vituko vya kupitiliza anaweza afanye hata wadogo zake wasiolewa reference ikiwa ni dada.

Point noted!

Nyie wanne mnamsaidiaje Mama yenu? Elfu hamsini haiwezi kuwa tatizo kwa watu wazima wanne kumpata Mama yao!

vp kuhusu kaka, mbona unawapa jukumu hao wengne wanne,kwan yy huyo mama sio mzazi wake?

sasa weee dada buku 50 tu inakutoa roho mpaka unatangaza humu?? vitu vidogo tu hivyo,,au wee ndo umelogwa?? kwanza umeolewa kweli wewe? labda tuanzie hapo

we unataka milion ngapi ili aje kulalamika janvini?

Mwanamke wa kioldmoshi!!
Dah! Dada zetu kazi mnayo, kila siku mnashambuliwa!

mpeni mda
labda ndoa bado changa

mkuu wanawake wa kilimanjaro ovyo kwelikweli
ndugu yangu kaoa mpare basi matatizo kibao,hata kumtembeelea ni tabu,mimi naona bora kukaa single

Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.

Inaumiza sana ..pole ndugu lakini ujue yote maisha.Fundisho ni kwamba ...kila mtu awe mwanaume au mwanamke lazima awe na shughuli inayomsaidia kimaisha.Wanawake wenye waume wenye vipato hubweteka sana utadhani wana mkataba na Mungu. Ukijua kuna kifo, ugonjwa ama kuachana huna budi kuwa tayari kwa lolote siku zote za maisha yako.

Baba ye2 alikufa mwaka 1989 aka2acha watoto wa 5 wa kike wa4 wa kiume1. Wakiume ni wa3 kuzaliwa na mkubwa alizaliwa 1977 na wamwisho 1984, baba alipofariki mama alikua hafanyi kazi ilimpasa afanye kazi nyingi ikiwemo kubeba zege kufagia barabara, nk aka2somesha wote hd form 4had 6, tukaolewa na kaka akaoa mamay2 kazeeka watoto wakike wote 2nashirikiana wote kum2nza kivumbi ni kakaye2 na mkewe hawataki kabisa kumsaidia mama, mama aliumwa akafanyiwa oparation 2kajichanga wakike wote 2lipomfata kaka akatoaelf 40 wifi akachukia akaondoka na akarudi mwenyewe anzia hapo kaka hatoi hata 10 tukimuuliza kwanini hamtunzi mama WIFI anasema mumewe anajenga km cc hatuwez kumtunza eti MAMA AKAIBE, tangu mama aambiwe hivyo amekua analia mara kwa mara NAMUHURUMIA SANA MAMA YETU ANATUPENDA SANA NA ALITESEKA SANA KU2LEA 2nashindwa kuelewa kaka ye2 amekubwa na nini.
Angel poleni sana unajua madhila mengine tunajitafutia sisi wenyewe! Humjali mzazi afu yakikufika ya kufika unakumbilia JF na mitaani kulia na kuomba shauri mbalimbali!!

ghalama za oparation alilipia nani,,huenda huyo wifi alichoka kuona matibabu yametoka kwao pamoja na hiyo 50 bado jiko litoke kwao tena? ushauri ni kwamba nyinyi mawifi ndo huwa mnaharibu ndoa za wakaka zenu..utakuta hata mama hananeno....yeye kapozwa na matibabu +50 basi inakuwa pouwa

<br / mama yetu ni kila kitu kwenye maisha y2 bila yeye ht hyo wifi asingeolewa na kaka y2 na hy kaka ye2 asingemuoa, inakuwaje leo WANAMDHARAU NA KUMTUKANA MAMA! INANIUMA SAAANA SOMETIMES NATAMANI BABA AFUFUKE AJEKUTUSAIDIA KUMFARIJI MAMA

<br / garama za oparation tulichana watoto wote wa kike alipoambiwa kaka achangie akatoa elf 50 wifi akachukia akaondoka

<br / mama yetu ni kila kitu kwenye maisha y2 bila yeye ht hyo wifi asingeolewa na kaka y2 na hy kaka ye2 asingemuoa, inakuwaje leo WANAMDHARAU NA KUMTUKANA MAMA! INANIUMA SAAANA SOMETIMES NATAMANI BABA AFUFUKE AJEKUTUSAIDIA KUMFARIJI MAMA

Unaandika haya kwa uchungu mkubwa sana. Poleni sana jitahidini kumfariji mama yenu kutokana na vitendo vinavyofanywa na Kaka yenu na mkewe. Mjitahidi sana ama anaweza kuaga dunia (Mungu apishilie mbali) siku si zake baada ya kukata tamaa na maisha hasa ukitilia maanani alivyohangaika na kujinyima ili kuwasomesha muweze kujitegemea.

Angel poleni sana unajua madhila mengine tunajitafutia sisi wenyewe! Humjali mzazi afu yakikufika ya kufika unakumbilia JF na mitaani kulia na kuomba shauri mbalimbali!!

MJ1 wanasemaga...mbuzi hajui thamani ya mkia wake (ule mfupi) lakini siku ukikatika ndo anatambua...

Kuna wengine tumebaki tu kutamani wangekuwepo angalau ugawane nao hiyo senti ishirini yako unayopata....

Unaandika haya kwa uchungu mkubwa sana. Poleni sana jitahidini kumfariji mama yenu kutokana na vitendo vinavyofanywa na Kaka yenu na mkewe. Mjitahidi sana ama anaweza kuaga dunia (Mungu apishilie mbali) siku si zake baada ya kukata tamaa na maisha hasa ukitilia maanani alivyohangaika na kujinyima ili kuwasomesha muweze kujitegemea.

<br / TUNAMWOMBA SANA MWNYEZ MUNGU AMPE MAMA YE2 MAISHA MAREFU HUENDA SIKU 1 KAKAYE2 ATATAMBUA MAKOSA YAKE NA KUJIRUDI KUMWOMBA MAMA MSAMAHA SBB KL SIKU MAMA ANALIA

Huenda tatizo sio la kaka yenu, bali nanyie ni tatizo. Kumsaidia mama yenu sion tatizo huenda amekuwa akimsaidia MAMA yenu lakini badala ya yeye kufaidika mnafaidika ninyi. Kila mt atakula kwa jasho lake.

Ndugu zetu muwe mnakubali kuwa maisha magumu, msiwe mnafikiria tu kaka zenu tumelogwa, inakera sana watu wenye mawazo finyu

Back
Top Bottom