Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi

Pole sana unaweza kumpa demu elfu50 halafu unalia na demu anakupa bao moja!? Kataa uzoba na upimbi kabisa kuna mademu wazuri wanakusubiri, ukiona demu anazingua achana nae tena unablock no.yake nenda kiwanja tafuta demu chakata kama siku 3 mfululizo kisha utakaa sawa utaona ulipotea njia.

Pitia madukani tafuta demu mkali anauza duka la kwake, la dada, shangazi, kaajiriwa hukosi hawana shida they need true love wapo.
 
Nikisema niseme vyote navyo mtendea mnaweza nichapa,nitukana,nipiga au kujua nimelogwa
zaidi ya 500k ishakata tokea nimekuwa nae suprise za hapa na pale ni kama mvua kwake

nipo apa kazini naona nimebeba dunia nawaza nikimpotezea akikausha itakuwa na sina
ata mchepuko useme utanifariji sinaaaaa
bladfaken
 
nikisema niseme vyote navyo mtendea mnaweza nichapa,nitukana,nipiga au kujua nimelogwa
zaidi ya 500k ishakata tokea nimekuwa nae suprise za hapa na pale ni kama mvua kwake

nipo apa kazini naona nimebeba dunia nawaza nikimpotezea akikausha itakuwa na sina
ata mchepuko useme utanifariji sinaaaaa
bladfaken
Tatizo lao ukiwapa hela sana upendo unapotea wanakuchukulia kama danga tu siku akiwa na shida atakutafuta, ili kujua ana mapenzi ya dhati inatakiwa uwe na mikausho mikali linapokuja suala la kufungua wallet.
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemss anaongezea.

Tumeenda vizuri kwa tumeishi kwa furaha saanaa gafla mambo yakaanza badilika baada ya mwenzi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia may be i love u anajibu thansk nacho umia akiitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia may be kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje mana naumia sana kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Umewahi kumkosea mambo kadhaa huko nyuma labda? AU amewahi kuhisi una mahusiano na Wanawake/ Mwanamke mwingine?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu maskini ya Mungu Makiwendo bahati kama anayoipata mwenzio ya kupewa [emoji383][emoji383][emoji383] bila kuomba unakuta hauipati.
Hebu changamkia fursa hio bahati hua hazijileti mara mbili.
Weeeeeeeee!!!! Shika adabu yako Kijana..
Kuna nini cha kuchangamkia hapo? Pyuuu

Halafu nani alikuambia Makiwendo hiyo bahati hana?Ungejua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom