Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi

Pole sana unaweza kumpa demu elfu50 halafu unalia na demu anakupa bao moja!? Kataa uzoba na upimbi kabisa kuna mademu wazuri wanakusubiri, ukiona demu anazingua achana nae tena unablock no.yake nenda kiwanja tafuta demu chakata kama siku 3 mfululizo kisha utakaa sawa utaona ulipotea njia.

Pitia madukani tafuta demu mkali anauza duka la kwake, la dada, shangazi, kaajiriwa hukosi hawana shida they need true love wapo.
 
Nikisema niseme vyote navyo mtendea mnaweza nichapa,nitukana,nipiga au kujua nimelogwa
zaidi ya 500k ishakata tokea nimekuwa nae suprise za hapa na pale ni kama mvua kwake

nipo apa kazini naona nimebeba dunia nawaza nikimpotezea akikausha itakuwa na sina
ata mchepuko useme utanifariji sinaaaaa
bladfaken
 
Tatizo lao ukiwapa hela sana upendo unapotea wanakuchukulia kama danga tu siku akiwa na shida atakutafuta, ili kujua ana mapenzi ya dhati inatakiwa uwe na mikausho mikali linapokuja suala la kufungua wallet.
 
Umewahi kumkosea mambo kadhaa huko nyuma labda? AU amewahi kuhisi una mahusiano na Wanawake/ Mwanamke mwingine?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu maskini ya Mungu Makiwendo bahati kama anayoipata mwenzio ya kupewa [emoji383][emoji383][emoji383] bila kuomba unakuta hauipati.
Hebu changamkia fursa hio bahati hua hazijileti mara mbili.
Weeeeeeeee!!!! Shika adabu yako Kijana..
Kuna nini cha kuchangamkia hapo? Pyuuu

Halafu nani alikuambia Makiwendo hiyo bahati hana?Ungejua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…