Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Ukiona maji yamefika shingoni ni hatua nzuri wewe zama tu kabisa, ndio utakuwa umezama kwenye dimbwi la mapenzi
 
Kwenye redpill society, Kuna theory inaitwa hypergamy au monkey branching As female nature... kwenye kipindi cha ujana wa mwanamke, mwanamke huwa anataka the best man she can get, kimuonekano, kiuchumi, na ki-status.

Kwenye ubongo wake, huenda huyo mdada anaona amepata mwanaume bora kuliko ww, depending na vigezo vyake anavovitaka toka kwa dume..labda kwenye swala la muonekano au pesa.

My advice ni kwamba usimchukulie mwanamke yoyote serious, msahau huyo dada endelea na maisha yako binafsi yuda75
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi
Mwache kama ulivyo mkuta kabla ya kuanza mahusiano.
 
"kwa kweli nampenda sana na yeye ananipenda sana"
hii kauli huwa siielewi.....kwani wewe aliekwambia huyo anakupenda sana ni nani??
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kauli mimi pia inanishangaza unakuta mtu anaanza "nampenda sana na yeye ananipenda sana " alafu chini yake anaanza kulia kwamba hamuelewi mpenzi wake
 
Utapata relax
 
Habarini wadau na washauri wa JF

MI bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi
Mzee kupenda kunauma sana, kuna mrembo nipo naye, akianza kunifanyia hvyo nahs ntakua katka hali mbaya
 
Mna mda gani?

Kwa wanawake wako ivu kama unadate nae kwa muda mrefe arafu aoni dalili yeyote ya wewe may be kumchumbia ndoa aoni ww kazi yako kuchakata tu lazima atakuwa hivyo tuu ushauri nakupa ebu jaribu kupeleka kwao posa na kisha mahali then uone mwitikio wake kwako kama atakuwa ivyo ivyo bac piga chini fasta jiongeze fanya yako...

By the way mm ishawai nitokea hii nilimsubirisha mwanamke kwa muda wa miaka 5 wa sita akanza nifanyia vituko kama hivyo nikajiongeza akawa yuko vzr tu lkn pia usi cremishe mana mapenzi ayaeleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…