Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Sijui kasoma huu uzii ata sielewi naona karudi kwa kasi ya 4g ni maswali ya Pole na kazi mpemzi ,nimekumc sana ,jmosi utakuwa free
Au anataka kunipiga kizinga
Bladfuuuu kalamba chuma xha reli

Natafuta pichs ya pisi kali niweke profile ili ajione kashaachwa

Sea bia tamu
 
Muache aje umpige na beki atulie

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Mwite gheto chukua simu yake kagua.....
Kwa maumivu utakayoyapata utamrudishia simu yake na ndo ticket ya kuachana itakapoanzia.
 
1. Kwanza tizama kwa umakini kama kuna makubaliano baina yenu umekuwa unayakiuka. Mf ulimpiga sound kwamba mwaka huu unaenda kwao bibie anaona ulimdanganya.
2. Labda kuna kimeo unapiga kimya kimya kashtukia hivyo amesanuka amejivuta
3. Kuna mhuni kashapima oil tayari sasa bibie kahamishia huko majeshi ila anashindwa kukuaga anataka muda ndio uamue juu kuachana kwenu
4. Au unavitabia flanflan ambavyo umekuwa ynaendekea navyo na yeye hapendi akikwambia ubadilike anaona hubadiliki hivyo amekata tamaa
5. Kuna wanga wamemlisha maneno tayari
CHA KUFANYA
1. Mwite kwako siku mwambie unashida muhimu akija mweleze ukweli mjadiliane aseme ama kuna shida yoyote aseme. Ukiona anasema hakuna shida. Jua penzi lumefika tamati. Kubali matokeo kubali matokeo.
 
Acha undezi jamaa! Hivi unakuwaje na pesa za kuhonga halafu unateseka na mapenzi braza? Hebu ziheshimu baraka ulizopewa na Mungu basi!

How can you be such a fool bro?

Yani mwanamke unamuonesha mapenzi, unampa mahitaji yake and extras ila hana shukurani, you must be doing something the wrong way! Umemuendekeza mpaka ame loose respect to you..

Sikia cut that woman lose bro! Tafta demu mwengine like for sure. Wapo wanawake wengi wanatafta wapenzi wa kweli wanaojali. A million women out there ambao wako willing kutoa upendo wao wa dhati ila hawapati watu kama wewe au wako kwa watu wasiowajali kabisa.

Huyo mwanamke ameshatafuta β€œchangamoto mpya” πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kwa wale wafanyakazi watanielewa kwa hii lugha!

Demu wako huyo hakupendi tena na anaye mtu ambaye anamjibu sms kila saa na kumuuliza uliza ameshindaje na kumpelekea mbususu kila wakati hata bila kuombwaπŸ˜‚! Wajibu wako na wewe ni kutafuta mwanamke mpya ambaye atakuwa na time na wewe kuanzia sasa!

Kata shobo zote, usipige simu wala kumpa hela kama utashindwa ntafte pm niko willing kukusaidia how to go about it!
 
miezi kama 2 ila mwezi huu wa kumi ndo mambo yamechange kabisa moja wala mbili haikai
Yani demu miezi miwili kashabadilika? We huyo mwanamke umemuokota wapi au Bar? Hakuwa mwanamke sahihi na wala usijaribu kumganda hata kidogo!
 
Usimuache ghafla tafuta dem mwingine mkali....
endelea nae punguza mawasiliano nae......
madem wana akili za ajabu ukifanya hivyo huenda akasepa mazima, which is ok ama akarudi kwa speed
 
Hebu weka sawa hapa...

Hivyo vitu vingi sana vilivyofanyika, vimefanyika ndani ya huo mwezi mmoja na nusu?

Au kwa lugha nyingine, umri wa mahusiano yenu ni mwezi mmoja na nusu tu?
Ila umekuwa mchokozi sana siku hizi Mtanijirani
 
Sasa si ndio ukatafute chaka jingine blaza.....
ama huyo ulikutana nae wapi!?
 
Yaani striker mzima umepewa penalti unauliza ufungeje?[emoji3061]
 
"kwa kweli nampenda sana na yeye ananipenda sana"
hii kauli huwa siielewi.....kwani wewe aliekwambia huyo anakupenda sana ni nani??
Anausemea moyo wa mtu ambaye hata kupiga simu kwake ni kwa tabu na mateso na bila shaka atakuwa anakasirika kasirika hovyo kila jamaa anapoanza kulia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Yani mwanamke akikuchoka bana ni balaa
 
Kwamba asitupandishe chati zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…