Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

Aisee kwa hiyo inabidi uwe mraibu kwanza wakutibu ndo upate ajira. Tuko mbali sana na uhalisia.
 
Wakisema wawachukue na waraibu wa "chaputa" hizo ajira hazitotosha.
 
Nianze mdogomdogo na bangi bila hivo nazeeka na 45 itanitupa mkono muda si mrefu
 
Halafu anatokea kunguni mmoja anakuletea sera za sisiemu
Wakati wanasisiemu wenyewe kama PM ndyo sera zao hizo
 
Back
Top Bottom