Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Huu ni ukweli au uongo? Nani kafundihswa jinsi ya kugegeda? No No ana maruhani yake huyo sio bure....ila na wewe unaoneka unamsifia sana mwenzio unapotoka kugegedwa ndio maana anakuonea wivu! Bisha

ni kweli kabisa mkuuu......... me kugegedana sipendi na nilishasema huwa sijui hiyo raha ya hiyo kitu,,,,,,,,,,,, rafiki yangu anapata shida anakosa raha jamani
 
yani ni shoga yangu mno tumesoma nae o level advanced chuo..... yule pesa si issue kwake muhimu mapenzi.............. basi kitandani hajui okey awe basi mchangamfu, mtundu, wakikaa wanaangaliana kama TV watu hawajaonana miezi saba.... lo\

Ha ha ha haaaaa kwamba jamaa "yellow page" hazingatii kabisa!!!!!!!
 
Miss Chaga, haya maelezo angekua akitoa mhusika moja kwa moja ingependeza saana kwani tungekua na fursa ya kumuuliza maswali mengi ambayo yapo tokana na habari yenyewe.

Nje ya wale ambao wapo kwenye mahusiano; hata kwa wanandoa kiukweli upande wa wanandoa ni wengi hulalamika kuhusu wenza wao kua na kasoro Fulani Fulani zisizovumilika, labda tokana na kuchoka na hizo tabia, yawezekana tokana na kuchoka hizo tabia za wenza wao, or tokana na kutaka sympathy toka kwako kama rafiki yake, au tu pengine anakutega kuona wewe una msimamo upi tokana na mahusiano yao hayo au tu kuna mwingine raha yake ni kulalamika. Malalamiko hayo hayana maana kabisa kuwa anafikiria sasa ndiyo huyo mtu wake hafai na wala haimaanishi kuwa atataka kumuacha.

Miaka mitano ni mingi sana kwa wapenzi for katika standard ya kawaida kuna wengine walioana na waliachana tokana na kushindwana (hata kama waliolewa). Inawezekana hii story ni kweli; nashindwa kuelewa kabisa kwa mtu ambae anapenda faragha kavumilia vipi kwa miaka mitano kama haridhiki na hawajaoana, na ni vipi kashindwa kabisa kumfundisha mwenzie ni wapi/vipi anataka kukunwa.

Whether tumshauri huyo mwenzio kumuacha au kuendelea na huyo mtu ni lazima tujue haya;


  1. Hafikishwi kabisa kileleni na mtu wake wakiwa faragha?
  2. Kipata cha huyo kaka ni cha chini ama sustainable?
  3. Ni lini kaona kuendelea kua nae ni tatizo?
  4. Anampenda mtu wake?
  5. Rafikiyo ana umri gani?

Niongeze pia kauli za "Pesa huna" hazijengi… Si nzuri. Kama huyo mtu kaonekana hafai kwa kutokua na pesa hata kama kakupenda na kukuthamini; walau mpe heshima yake ya yeye kukuona bora na kukuchagua wewe kua another half katika maisha yake (of all the people angeweza kuchagua).

All in all, mshauri huyo dada atafakari. Kama kweli hamtaki asizidi kupoteza mda wake na kumpotezea mda huyo mwenzie.
 
Watoto wa kike kweli mnapotea, including wewe uliyeweka hii mada hapa....

Kwa akili kama yako acha wanaume wakware waendelee kuwachezea tu...

Kwa hiyo kwako wewe mwanaume akishakuwa na pesa basi huyo kashapewa shavu la ndoa...
 
Halafu mbaya zaidi anayeombwa ushauri, neno 'ndoa' kwake bado ni msamiati...

 



Lol eti wife material au dem material?
1.kukupa umbea wote wa kitandani kuhusu jamaa ake na jinsi anavyomgegeda
2. Eti hana hela
 

yani ni hivi pesa kwake siyo tatizo mwanaume hata aambiwe nini hataki kubadilika hataki kubadillika........... mbishi ni kila wa kikaa akijitahidi kuongea ni mama yangu / baba yangu hana story according to shoga yangu....... wakati wa kugegedana akipata kimoja tu analala au anachati kwenye simu au tv na wakati mwingine jamaa asimamishi kabisa na hapo basi wawe pamoja unakuta hawajaonana ndani ya miezi minne akija kitu akiendi winga
 
Kitu cha mhimu hapo kwa sasa wasolve tatizo la mapnz. Kuhusu pesa watatafuta wote wakioana.
 
dada anatumia kipimo cha lini kujua underperformance ya shosti ako? Cha wakati huu ama vilivyopita? Hii mambo hiii...!!!
 



Thumb Up,,,,we unajielewa dada angu ni wachache sana humu wapo kama wewe humu wengi wao ndo wale wanamegwa tu ndoa wanaiskia kwenye bomba na kupewa card tu.
 
Ntasema haya
1. Mwanamme hajui mapenzi afu kakaa naye miaka 5?
2. Tafuta mwanamme akuweke busy, mapenzi ya rafiki yako yasikunyime usingizi.
...Na ukicheki kwa makini unaweza kudhani labda huyo na raiki yake wote..hamnazo...na tatozo wala hamna...maana haeleweki tatizo hela, sex au au jamaa hamjali...? alafu wife material hawezi kuongea mambo yote hayo kwa rafiki ake (wife material ninao wajua)
 

ana miaka 26.... according to yeye afikishwi compare na wapenzi wake wawili wa nyuma .... anajitahidi kutokufanya comparison inashindikana,............ yani anjikuta anamfundisha jamaaa hadi sehemu gani yakushika lakinii jamaa aelewi mbishi .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…