Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

mmh.tunatofautiana jamani.wengine kuingiziwa tu uume ni kero ni vile tu tumeolewa hatuna jinsi leo mtu analalamika hapewi vya kutosha??ni bora atafute mwenye uume mkubwa zaidi labda ataenjoy

kweli dunia ina mambo ya ajabu sana, kwahiyo na wewe umeolewa lakini hupendi tendo la ndoa
 
Hahaaha....hii story imenikumbusha mbali ndio maana nikacheka. Nuliwahi kupata mwanaume wa aina hiyo kwanza hajui kugegeda kila ukimfundisha haeleweki mkiwa 6x6 anataka ukae kama gogo mawivu yasiokuwa na mpango, vilinishinda na alikuwa kinganganizi wa ndoa nilimbwaga akaja kunifanyia fujo mwisho nikaona isiwe nikamchukulia RB ndio unaware salama yangu
 
sweetie miss chagga uje na maelezo ya kutosha leo unaporudi nyumbani, it seems unamjua zaidi huyu jamaa wa rafiki yako kuliko hata unijuavyo mimi

naomba nisamehe honey wangu ananiadithiaga ukiwa umetoka kidogo na nikienda kwake ...........
 

bora yaliyokukuta nadhani utakuwa unaelewa na jamaaa huyu kakomaa ndoa kashikilia bango loh!!!!!!!!!1 sasa anatumia mgongo wa ndugu wa mwanamke na awezi sema home kwamba jamaa ajui kugegeda tabu tupu
 
Huyo dada apige chini fasta hiyyo mtu!!!!!!! unajua ile kitu tamu sana na kama mtu hakutendei haki ni bora kumwacha..
Aongee tu na familia yke khs huyo mwanaume kuwa si chaguo lake watamuelewa tu.......................
 
naomba nisamehe honey wangu ananiadithiaga ukiwa umetoka kidogo na nikienda kwake ...........
umesamehewa hny ila huyo rafiki yako ataku-pollute uje uanze kuniambia sijui kugegeda halafu mbaya zaidi anaangalia ma-porno
 
My sis Miss Chagga, umemdunisha cna shem wako, nadhani ana mengi mazuri kiasi cha rafiki yako kudum nae kwa miaka 5. Waoaji wachache siku hizi mbona hakuna lisilorekebishika hapo?

miaka mitano wanazini,,,sasa hata taste inapungua,,,,,jamaa amemchoka bint ila anamvutia kasi tu bidada,,,,
 
Heheeeiya nimecheka mpaka bhasiiiii!na ww shost uachage kumsilimulia mwenzio ukitoka kw mpenzio cz unamfanya ajione kua apewi mambo mazuri na man wake!
 
Huyo dada apige chini fasta hiyyo mtu!!!!!!! unajua ile kitu tamu sana na kama mtu hakutendei haki ni bora kumwacha..
Aongee tu na familia yke khs huyo mwanaume kuwa si chaguo lake watamuelewa tu.......................

sawa nitamwambia
 

kwani bastola zimepigwa marufuku siku hizi?
 
Hii aibu dah mambo haya sio ya kuyaanika hadharani...mngenongonezana huko mkashauriana na kama ingeshindikana mngemuacha kaka wa watu...I feel sorry for him maskini nishai....
 
Hahahaha ukitaka kuwatonesha wanaume wa jamiiforum miss chagga we gusia pesa. of course yes they do deserve kukasirika coz mwanamme aliye busy na employment
Bussness estates and others huenda akaingia jf once per tena for a good reason au wengine hawajui hata its existence
So I do understand nyie mnaokuwa wakali kama.
Money is everything east of west that is why God promise to give us a utajiri uliotukuka TUKIMTII.

You gat me guys? Fanyeni kazi acheni kuukimbia ukweli.kweli itabaki kuwa kweli
 
Last edited by a moderator:

hongera sana mkuu nimekukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…