Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

Joined
Jan 31, 2024
Posts
42
Reaction score
119
Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
 
Kwa mbeya nenda Iyunga viwandani au Itutq karibu na iwambi uko kuna viwanda kama Coca-Cola , safari breweries, Tazara , Malumalu , kiwanda cha kahawa , pepsi ,Melt.
Fika asubuh iliuweze kupata Abc.
 
Mbeya labda shughuli za kilimo tu ninja
 
Back
Top Bottom