Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
Kwa mbeya nenda Iyunga viwandani au Itutq karibu na iwambi uko kuna viwanda kama Coca-Cola , safari breweries, Tazara , Malumalu , kiwanda cha kahawa , pepsi ,Melt.
Fika asubuh iliuweze kupata Abc.