Jamani mbona hunambii, niambie basii!!

Hilo jina sio zur kaka mi sijatukana mtu hapa
Mkuu wala sijakutukana, sijataka nikutukane nisamehe mkuu.. Ila Mwenyewe unajua bahat nzuri huwatokea watu wasio weza kuzitumia hizo bahati
 
Mkuu wala sijakutukana, sijataka nikutukane nisamehe mkuu.. Ila Mwenyewe unajua bahat nzuri huwatokea watu wasio weza kuzitumia hizo bahati
Kwani wewe umeelewa huyo manz anataka nimwambie nini
 
Mwambie jogooo hapandi mtungi
 
Hata mimi nataka nimwambie lakin sielewi nimwambie nini
nashauri umkaribishe kwako akija na jitahidi muwe peke yenu afu umuulize nkwambie nn sasa.lete majibu.yan mrejesho
 
Mwambie kwamba Daudi Bashite alipata Mzunguko matokeo ya kidato cha nne. NA PIA MWAMBIE KWAMBA NI POCBO MWAKA HUU WOTE HUYU ANAYEJIITA MAKONDA ANAWEZA AKAUTUMIA KWA KULIA NA KUGARAGARA KWENYE NYUMBA ZA IBADA.
 
Mwambie unamjua bashite?kama hamjui tiririka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…