9inone
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 774
- 319
Du!, haya mkuu haina mbaya kumbe!Bashite ni msamiati mpya kwa sasa tumeshauriwa na mkuu wetu wa Darisalama kuutumia sana kadri tuwezavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du!, haya mkuu haina mbaya kumbe!Bashite ni msamiati mpya kwa sasa tumeshauriwa na mkuu wetu wa Darisalama kuutumia sana kadri tuwezavyo.
Mkuu wala sijakutukana, sijataka nikutukane nisamehe mkuu.. Ila Mwenyewe unajua bahat nzuri huwatokea watu wasio weza kuzitumia hizo bahatiHilo jina sio zur kaka mi sijatukana mtu hapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahhh anamaanisha mtongoze [emoji23] au muombe tam tam
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]nipatie namba zake nikusaidie kumwambia
Nimeelewa sana anataka nn ok its a mistake man let forget about it, we are a menKwani wewe umeelewa huyo manz anataka nimwambie nini
nashauri umkaribishe kwako akija na jitahidi muwe peke yenu afu umuulize nkwambie nn sasa.lete majibu.yan mrejeshoHata mimi nataka nimwambie lakin sielewi nimwambie nini
Natafuta fursa kama hzo sipatiDhaaa!! Yan kuna watu kujiongeza kwao
N mzgo sana
anawatia aibu mwenzenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamaa nae hata kujiongeza tu
N mzgooo