Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take note, kijana aliyenijia neno congratulation limemsumbua sana. Nimemwambia kuwa hapo subiri uone kama utapata mkopo. akasema nimeshapongezwa.....nikasema NO, a big NO. nikaamua kuuliza nipate tafsiri kama mahakama zinavyotafsiri sheria................................................. 😀 😀 😀 😀 😀 😀Retired kosa la kwanza ulilolifanya ni kumsaidia kufanya huo mchakato wa kuomba mkopo, la pili ni kiendelea kujishughulisha na ufuatiliaji wa majibu kutoka HESLB.
Huyo kijana unamtengenezea mazingira magumu sana baada ya kuhitimu hataweza kujitegemea kujitegemea sawa sawa.
Msomi hama wewe unaandika 'ukielewi' badala ya kuandika 'hukielewi'?Msomi wa chuo kikuu kiingereza kama hicho ukielewi?
asante kwa ufafanuzi. Kijana nilimweleza hivyo, akasema sasa Congratulations za nini? Nikamjibu, to be honest kuwa ni matumizi mabaya ya manenomkuu uo ujumbe una maanisha maombi yako ya mkopo kwa hatua ya kwanza yapo vizuri hayana kasoro yeyote wala hayahitaji marekebisho yeyote. Ivyo subiri hatua inayofata ya allocation ambapo hapo unaweza ukapata kama ukikidhi vigezo vyao
Kiswahili ni lugha yako, siyo yanguMsomi hama wewe unaandika 'ukielewi' badala ya kuandika 'hukielewi'?
stupid! alisema mamaYan ww kuandika kiswahili shida,kuandika kingereza shida, kuelewa kingereza ndo kabsa hamna kitu shida tu,mzee shule ulosoma mlikua mnaongea kilugha mpk mitihani mnafanya kwa kilugha nn?!
Basi hapo ni swa na kuambiwa, Hongera! Ombi lako limepokelewa. haimaanishi umepewa tayari ulichoomba, bali ombi limefika tu.Take note, kijana aliyenijia neno congratulation limemsumbua sana. Nimemwambia kuwa hapo subiri uone kama utapata mkopo. akasema nimeshapongezwa.....nikasema NO, a big NO. nikaamua kuuliza nipate tafsiri kama mahakama zinavyotafsiri sheria................................................. 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Mbona kwangu ni kama jeshini, ngarambe tupu.... shamba kila siku, wanachunga ngombe wao wenyewe , kukata majani ya nombe etc etc etc...... mfanyakazi amepumzika , mpaka waondoke kwenda chuo.. Hivyo hakuna kudekezana........
Una elimu gani?Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS
Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
[emoji3]Huo mkopo hata ukikosa ni haki kabisa
[emoji23]Neno "jamani" kutumika kwa mwanaume napo naona kuna shida, au huko Dar ndio maneno yenu nyie wanaume wa Dar.