Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
imeandikwa wapi mkuu, acha kupotosha umma!!
You better quit kama huna la kuzungumza,...
Siku mkeo akiwa na mimba mtwangie vitunguu swaumu umpe anywe alafu ulete mrejesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imeandikwa wapi mkuu, acha kupotosha umma!!
You better quit kama huna la kuzungumza,...
imeandikwa wapi mkuu, acha kupotosha umma!!
You better quit kama huna la kuzungumza,...
Pole sana dada.Mimba imetoka hiyo.Kitunguu swaumu mbona inatoa mimba changa au hujui?
Pole dada! vitunguu swaumu vitatoa mimba.Nenda kariuki wana huduma za haraka sana wanaweza kukusaidi kama mtoto bado yuko kwenye mji wa uzazi.
Habari za wakati huu wapendwa....
Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu kiasi cha kijiko 1 cha chakula,nilitumia nusu kitunguu kile chenye rangi ya dhambarau.
nimeamka asubuh nikaona matone kidogo ya damu kwenye pichu nilistaajabu kidogo,lakin mpaka wakati huu damu imeongezeka na nikama ya bleed,but sio nyekundu nikama ina dark hivi,ni light,haina harufu kali kama ya bleed,jion hii imezidi hadi nimevaa ped kwanamna inavoongezeka,inaweza kua miscariage?au tatizo gan?naomba msaada wa mawazo jamani nipo njia panda.
Regards
Kukucd
Unakuwaga kama mlozi wewe!
Pole sana dada.Mimba imetoka hiyo.Kitunguu swaumu mbona inatoa mimba changa au hujui?
Ingekua ivo wasichana wasingezaa kabla ya kuolewa!
Wahi hospitali haraka sana, pole sana.
Kwa hiyo kwa kairuki ndo wanagundisha mimba ambayo inatoka?
Wakati wa ujauzito
hupaswi kutumia dawa ama remedy yoyote bila kuwasiliana na dr wako. By
the way, kupata fungus wakati wa ujauzito ni kawaida kabisa.
pole sana, bado tu hujafika hospitali?
Ahsanteni wapendwa,nipo hospital now