Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Kwanza ungenitaka Ushauri wangu kutumia dawa zangu ninazo ziweka hap wakati wewe una mimba Kitunguu saumu ukiwa una mimba inatakikan uwe muangalifu namna ya kukitumia kwake. kama ungelitumia kwenye chakula kwa
kukipika wakati wewe una mimba hakuna tatizo lakini inaonyesha wewe umekitumia kitunguu saumu kibichi tena kingi ndio maana kimekutowa damu . Ukiwa na mimba unaweza kukila kitunguu saumu kama punje zisizozidi zaidi ya 2 kwa
mlo mmoja yaani unaweza kula kitunguu saumu punje 2 asubuhi na punje 2 baada ya masaa 8 kupita na punje 2
wakati wewe unapo kwenda kulala sio kula punje zote 6 kwa wakati mmoja wakati wewe una mimba tenachanga. Umeandika kwa kiingereza soma hapa chini kuhus kitunguu Saumu:
Special Precautions & Warnings:
Pregnancy and breast-feeding: Garlic is LIKELY SAFE in pregnancy when taken in the amounts normally found in food. Garlic is POSSIBLY UNSAFEwhen used in medicinal amounts in pregnancy and breast-feeding.
There isnt enough reliable information about the safety of using garlic on the skin if you are pregnant or breast-feeding. Stay on the safe side, and avoid use.
Mkuu hizi precautions ulizitoa toka awali?