Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.
Pole sana mamah, Mimba changa yoyote ile kuanzia miezi 0-3 hutakiwi kutumia dawa yoyote bila ushauri wa daktari, wahi hosp ni miscarriage hiyo.
 
Kwa hiyo kwa kairuki ndo wanagundisha mimba ambayo inatoka?
Pole dada! vitunguu swaumu vitatoa mimba.Nenda kariuki wana huduma za haraka sana wanaweza kukusaidi kama mtoto bado yuko kwenye mji wa uzazi.
 

Kwanza ungenitaka Ushauri wangu kutumia dawa zangu ninazo ziweka hap wakati wewe una mimba Kitunguu saumu ukiwa una mimba inatakikan uwe muangalifu namna ya kukitumia kwake. kama ungelitumia kwenye chakula kwa

kukipika wakati wewe una mimba hakuna tatizo lakini inaonyesha wewe umekitumia kitunguu saumu kibichi tena kingi ndio maana kimekutowa damu . Ukiwa na mimba unaweza kukila kitunguu saumu kama punje zisizozidi zaidi ya 2 kwa

mlo mmoja yaani unaweza kula kitunguu saumu punje 2 asubuhi na punje 2 baada ya masaa 8 kupita na punje 2

wakati wewe unapo kwenda kulala sio kula punje zote 6 kwa wakati mmoja wakati wewe una mimba tenachanga. Umeandika kwa kiingereza soma hapa chini kuhus kitunguu Saumu:

Special Precautions & Warnings:

Pregnancy and breast-feeding: Garlic is LIKELY SAFE in pregnancy when taken in the amounts normally found in food. Garlic is POSSIBLY UNSAFEwhen used in medicinal amounts in pregnancy and breast-feeding.

There isn't enough reliable information about the safety of using garlic on the skin if you are pregnant or breast-feeding. Stay on the safe side, and avoid use.
 
Kwa hiyo kwa kairuki ndo wanagundisha mimba ambayo inatoka?

Alafu wewe mchumba una maneno matamu sana 'wanagundisha' kwa kariuki wanajitahidi kwa huduma za haraka sana sio kama amana utaambiwa mpiga ex ray kaenda kuharisha msubiri.Unataka nikupe gundi yangu baby?
 
Jamani hili tatizo lipo kweli. Mi wife alitumia vitunguu swaum nae akaanza bleed ikitoa kama vinyama but nilienda hospital wakapiga ultra sound, nashukuru Mungu nyumba ya mtoto ilikuwa safi kabisa na mtoto alionekana yupo poa.

Ni vizuri kwa mama mjamzito kutotumia aina yoyote ya dawa mpaka apate ushauri wa daktari.
 
Wakati wa ujauzito
hupaswi kutumia dawa ama remedy yoyote bila kuwasiliana na dr wako. By
the way, kupata fungus wakati wa ujauzito ni kawaida kabisa.

pole sana, bado tu hujafika hospitali?

well said King'asti..
ni muhimu sana ukiwa mjamzito kabla hujatumia dawa yoyote uwasiliane na dr athibitishe kama haina shida kwa mjamzito.

sasa madam kaenda mbali kwenye dawa za asili. Za kizungu huwa wanajitahidi kueleza kama haishauriwi kwa mjamzito.

pia katika dalili hatari za mimba hiyo ni mojawapo, usipoteze muda tena wahi hosp kama walivyoshauri juu. pole sana
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni wapendwa,nipo hospital now
 
Reactions: BAK
Pole sana dada, kwani ulikuwa unatibu nini? nenda hospitali haraka tafadhali.
 
Hali uliyokuwa nayo inaashiria kuwa mimba iko hatarini kutoka.

Unatakiwa kufanyiwa ultrasound ili kuona ujauzito uko kwenye hali gani.

Katika umri huo wa mimba njia ya msaada ni vidonge vya hormones za kuimarisha ujauzito.

Kitunguu swaumu ulichokula sio lazima kiwe sababu ya kubleed kwako. Inaweza kuwa ni coincidence tu.

Pole na kila la heri katika safari yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…