Jamani mimba yangu, msaada

Status
Not open for further replies.
Tuko pamoja mkuu.
 
Reactions: BAK
Inaweza ikawa threatened abortion ingawa daktari ndiye anayeweza kuthibitisha hilo.
 

Hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria mkuu, Pinda anaweza kushitakiwa kwanini polisi ishindikane!!!
The point ni kuuliza kosa lako kwenye hili janga na si kwasababu upo serikalini then usiwe liable hata kama una kosa.
l do not mean kwamba una kosa...
 
Vitunguu Swaumu
Kuna mada za watu wawili MziziMkavu na mwingine sikumbuki jina lake hapa JF, katika mada zote ninavyokumbuka walitahadhalisha matumizi hayo kwa wenye mimba.

Nilijaribu kutumia hiyo dawa si kwamba nina matatizo ila tu kujisafisha my body system na pia mishipa ya damu ili iwe na kasi ya kutosha mwilini, ukweli sijawahi tumia dawa kali kama hiyo katika maisha yangu. Ukali wake vigumu kwa mimba changa kubakia tumboni, tujuavyo inaua minyoo moja kwa moja katika pigo moja tu kwa dakika chache.

Nadhani kwa wenye mimba bora wakatumia dawa za hospitali zenye kufuata maelekezo kwa hali zao. Vinginevyo vitunguu swaumu kwa mwenye mimba kubwa hatari pia kwa uhai wa mbeba mimba mwenyewe.

MziziMkavu hana kosa maana ushauri wake haukuwa moja kwa moja kwa mwathirika kama ilivyo kwa mengi tuyaonayo mitandaoni, na pia mwathirika hakuwa makini katika kujiridhisha kwa usalama wa kiumbe alichobeba.
 
Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
Pole sana dada yangu, Kama ulivyosema kila kitu kina sababu basi huna budi kukubaliana nalo
 
pole kwa matatizo kukucd! mungu akupe nguvu name afya tele
 

Amenishangaza haya mambo ya usalama wa Taifa yanatoka wapi!! kwanza kwa Ethics zao si sawa kujitangaza.I hope alikuwa anatania
 
Fasta, Kamfungulie Mashtaka MziziMkavu. au MODS wampige ban hata ya miaka miwili:israel:
 
Huyu dada aliyeyeandika mada hii na kumtaja MziziMkavu inabidi arudishe maneno yake au kuyaweka sawa kuwa si wewe umeeoma thread humu na sio wewe uliyeomba ushauri na kuwa una mimba na ndio ukaambiwa unywe hayo. Mzizimkavu achana nao wanaokusema hawaelewi.

Mie ni mmoja wa wanaotafuta info online kama wengi sie. Hili ni funzo kwa wengi sisi tumejifunza kuwa makini na kujua afya kama inaruhusu au la.
 
Last edited by a moderator:
Ooh!!!! Pole sana kukucd Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja wewe na wote wanaokuhusu katika kipindi hiki kigumu kwenu.

Poor me!my baby is gone,thanks kwa mlionishauri,kila kitu kinatokea kwa sababu zake,sitaacha kuihukumu nafsi yangu kwa uzembe niliofanya!hili tukio limenipa somo kubwa sana,may her/his soul rest in peace.
 
Last edited by a moderator:
Asante dada yangu kwa ushauri wako mzurimie kuna watu humu ndani wananipiga vita kwa sababu ninawasaidia watu bure wengi wa watu humu ndani wanaonipiga vita ni Waganga wa kienyeji hawataki niwasaidie watu bure asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…