King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Tuko pamoja mkuu.
asante sana dada yangu kwa karipio. mimi ni daktari na ninaheshimu na kuthamini sana kazi yangu. lengo la ile comment yangu ilikuwa kutaka kujua kama huyu bwana aliyetoa huu ushauri wa vidonge anaelewa kweli anachoandika. maana hawa ndio watu wanaoshauri wenzao humu,, na watu wanafata ushauri na kudhurika. profession imeingiliwa, na inauma sana kuona wakati wengine wanajenga wengine wanajitahidi kubomoa. medical field is too broad,, and unless one is an expert then they should forever keep their comments to themselves. and,, there is what we call ''medical-legal'' implications,, unaweza kufungwa kwa kutoa publicly information either ambayo si sahihi ama haijitoshelezi na wasomaji ama watumiaji wako wakapata madhara. watanzania ni watu wa ajabu sana,, wanapenda urahisi hata kwenye mambo yanayowahusu personally and directly. hospitali haziko mbali sana siku hizi,, everyone shoulg go there for proper evaluation and work-up. ni hayo tu