Jamani mimi ni mgeni nisaidieni

Jamani mimi ni mgeni nisaidieni

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
401
Reaction score
70
Jamani kama nilivyojitambulisha ni mgeni wa kujiunga JF lakini ni mtumiaji wa JF tangu 2010 nikiwa chuoni.
Naombeni mnipe sapoti hasa masuala ya Ujasiriamali,siasa,michezo na habari mchanganyiko.
Ni mwanachama wa CCM pamoja na Umoja wa Vijana wake lakini siungi mkono kitendo cha viongozi wa chama kuweka viongozi wao.
MWADELA Bhagosha
 
Wasubiri watakuja sasa hivi!
 
wanasema ili uwe mwana ccm lazima ujitoe ufahamu na uwenafiki,wewe vipi mwenzetu.
_unataka kujua nini katika uliyoyaandika?
 
sasa me sijakuelewa usaidiwe nin?
  1. kama ni habari si unajua kusoma uzi ukianzishwa unafungua unasoma ukitaka unacomment sa zaidi ya hapo sielewi sisi tutakusaidiaje au umekosea jukwaa la utambulisho???
 
Yaani hapo uliposema ni mwana ccm halafu ni kijana tumekosa imani na wewe. Unajua kwa nini?
Wezi, mafisadi, wababe wa sheria, wakandamizaji, waongo, wacheza ngoma za umalaya na wauaji wote wako CCM. Au ccm unayoizungumzia wewe ni ipi?"Hii" au "ile"?
 
acheni perception mbaya,ndugu yangu acha wivu bure CCM ni chama kama TLP bali watu wake wanatofautiana.
Acha hasira ndugu.
 
Back
Top Bottom