Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Yah kwa mtu mwenye maamuzi hapo angeshachukua maamuzi kwa kuwa si kila kitu kinahitaji ushauri.Atakuwa anampenda sana huyo binti maana otherwise asingekuwa na kigugumizi, nashauri asimwache
Title yako inasema ni wewe lakini kwenye maelezo umemwelezea mtu mwingine... em nyoosha maelezo bana usaidiwe mawazo
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali
Yah kwa mtu mwenye maamuzi hapo angeshachukua maamuzi kwa kuwa si kila kitu kinahitaji ushauri.
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali
kinachosikitisha ndugu wa msichana nao wanatishia kwa imani za kishirikina kwani huko tanga usaliti kwao ni jambo la kawaidaHii ilikuwa inatosha kumwonyesha huyo ni mwanamke wa nmna gani. he was so blind and naive.
Mpe pole lakini ameyataka mwenyewe:A S embarassed:.
Ila sasa amemjua ni mwanmke wa aina gani, kwa hiyo achukue uamuzi akizingatia hilo.:shock: