Jamani mke wangu amekiri alinisaliti!!

Jamani mke wangu amekiri alinisaliti!!

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali
 
muache kwani umeoa na familia yao.. chukua hatua toka nduki sana..
 
Duh, kuna vitu vinachekesha! Afu vinahuzunisha!
Hakuna ushauri hapo
Apime kina anachoweza kuzama aendelee.
 
Atakuwa anampenda sana huyo binti maana otherwise asingekuwa na kigugumizi, nashauri asimwache
 
Ushauri gani anataka?
Either he is in or he is out.
 
sasa hapo anataka ushauri gani? au anataka aabiwe msamehe kitanda hakizai haramu? au unataka kusema unawapenda sana wazee wa huyo kicheche huwezi kuwakatalia japo kua mtoto wao kicheche? ebu jikaze kiume mwanamme anatakiwa awena mamuzi ya kiume....
 
Atakuwa anampenda sana huyo binti maana otherwise asingekuwa na kigugumizi, nashauri asimwache
Yah kwa mtu mwenye maamuzi hapo angeshachukua maamuzi kwa kuwa si kila kitu kinahitaji ushauri.
 
Title yako inasema ni wewe lakini kwenye maelezo umemwelezea mtu mwingine... em nyoosha maelezo bana usaidiwe mawazo

kaka cha msingi ni ushauri hili tatizo ni la mdogo wangu na sii utani
 
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali

Hii ilikuwa inatosha kumwonyesha huyo ni mwanamke wa nmna gani. he was so blind and naive.
Mpe pole lakini ameyataka mwenyewe:A S embarassed:.
Ila sasa amemjua ni mwanmke wa aina gani, kwa hiyo achukue uamuzi akizingatia hilo.:shock:
 
Yah kwa mtu mwenye maamuzi hapo angeshachukua maamuzi kwa kuwa si kila kitu kinahitaji ushauri.

ni kweli ndugu ila wazazi wa kijana wamekataa na wamemwambia binti kuwa wanamtambua yeye tuu na kama kijana atamuacha na kuoa binti mwingine atafute wazazi wake wapya na wala asikaribie kwao
 
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali

Ina maana hawa wanaume aliokuwa akiwahonga mpaka akafilisi duka hakuwahi kutembea nao? Kwa hiyo kimsingi shida siyo kutembea na wanaume bali ni kutembea na mwanamme aliyekuwa naye mwanzo. Sasa kama huyo bwana aliweza kumsamehe kwa kuwahonga na inawezekana kutembea na wanaume wengi mpaka wakafilisi biashara yake kwa nini ashindwe kumsamehe sasa kwani inaonekana ame-improve sana kwa kutembea na mwanamme mmoja tu.
 
Hii ilikuwa inatosha kumwonyesha huyo ni mwanamke wa nmna gani. he was so blind and naive.
Mpe pole lakini ameyataka mwenyewe:A S embarassed:.
Ila sasa amemjua ni mwanmke wa aina gani, kwa hiyo achukue uamuzi akizingatia hilo.:shock:
kinachosikitisha ndugu wa msichana nao wanatishia kwa imani za kishirikina kwani huko tanga usaliti kwao ni jambo la kawaida
 
Mambo ya mapenzi huwa ni magumu sana jamani na huwa hayanaga ushauri kabisa.katika hili wenye nafasi ya kuamua nini kifanyeke ni hao wawili.wengene kuanza kutoa uamuzi wa nini kifanyike mtazua balaa.huyo jamaa na huyo binti wanapenda hvyo waamue nini wafanye wengine yetu macho na masikio.
 
Fanya maamuzi magumu maana ukweli hukuweka huru ila mwanzoni hukuumiza saaaaaaaaaaaaaaana tu
 
Back
Top Bottom