Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
- Thread starter
-
- #41
Yaani kwenu hakuna mwenye akili hata mmoja ndo maana mdogo wako hajui jibu na wewe boga kubwa la bure unatuletea humu. Namuhurumia huyo dada akizaa na mdogoako ataongeza Boga jingine Tz itazidi kuwa nyuma. Mlete huyo dada tumshauri sio nyie.
Fuatilia na wewe ujue kuhusu Erick ili mje wote
Wanawake toka lini wanacheat?
ni kweli ndugu ila wazazi wa kijana wamekataa na wamemwambia binti kuwa wanamtambua yeye tuu na kama kijana atamuacha na kuoa binti mwingine atafute wazazi wake wapya na wala asikaribie kwao
Duh, kuna vitu vinachekesha! Afu vinahuzunisha!
Hakuna ushauri hapo
Apime kina anachoweza kuzama aendelee.
Juzi, jana, leo na kesho.
kwani bado anaishi kwa wazazi? Je kilakitu anategemea wazazi? waambie wazazi wasikuzoee ktk maaumuzi yako, alivyokuwa unamtongoza wazazi walimsaidia? Fukuza huyo.
Amsamehe tu waendelee na maisha!!
Amemsomesha, amempaduka, amemfilisi-hapo no issue. Lakini amehonga wanaume, maana yake ni kicheche-hapo ndo problem. Zaidi amemsaliti-atavumilia, ila kapata mtoto nje -wakati anamrudisha hakuseme ukweli. Kumbe huyu ana mme wake wa mwanzo ambaye wakikutana wanakumbushana ukiacha aliowahonga. kama ni mimi nampiga chini mara moja. ndugu na wazazi hawajui uchungu na utamu ulio moyoni mwangu juu ya mke kama huyu. Pigaaaaaaaaa chini. piga chini, piga chini. nasema piga chini.
tunaomba atueleze ni mke wake kwa vipi
1. alimtolea posa/mahali na kufunga naye harusi ya kimila au kanisani au msikitini au kwa mkuu wa wilaya
2. je hajawahi kuoa kabla ya mwanamke huyu
3. je huyu ni mke wa ngapi
akitujibu tutamshauri
hellow wana-mmu. Hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo alipoamua kumfurudisha kwao, alikaa miezi miwili na alilazimisha kurudi baada ya mda mfupi alipata ujauzito ambao alidai ni wake. Mwisho alizaa mtoto wa kike na jana katika hali isiyo ya kawaida mke wakd amekiri alipomrudisha kwao alimsaliti kwa kutembea na mwanaume aliyekuwa naye mwanzo. Anataka kumwacha familia inakataa ushauri wenu tafadhali