Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
- Thread starter
- #41
Yaani kwenu hakuna mwenye akili hata mmoja ndo maana mdogo wako hajui jibu na wewe boga kubwa la bure unatuletea humu. Namuhurumia huyo dada akizaa na mdogoako ataongeza Boga jingine Tz itazidi kuwa nyuma. Mlete huyo dada tumshauri sio nyie.
yaani wewe mwanamke nimeshindwa hata niseme nini! Hizo dharau zako wanazitoa wale wenzako wa facebook. Kwanza huna akili. Unajua maana ya MMU? Kuna wenzako humu wana upeo zaidi yako na wanaweza kumsaidia mdogo wangu. Ukweli UMENIKWAZA SANA .