"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!...

"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!...

1 wakorintho 7:3-4mume na ampe mkewe haki yake, vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake, mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe, vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe
 
1 wakorintho 7:3-4mume na ampe mkewe haki yake, vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake, mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe, vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe
 
JF mbona kwangu iko slow... yani kwenda second page inachukua ages, tena si leo tu wakati mtandao naotumia ni una read excellent. Ngoja ni log off maana humu naingia kwa kuibia (nina kazi kibao Lol.). Ila kama na wengine mna experience same problem labda wahusika wanaweza fanya something
 
Hii mambo ilinipa hasara sana jana!
 
1 wakorintho 7:3-4mume na ampe mkewe haki yake, vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake, mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe, vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe

Unafikiri huu mstari unasaidia nini?
 
Si kweli la kwanza ni **** 2, na kama hali ni hiyo mama lazima alalamike maana wataalam wanasema wenzetu wanaanza KUJA kuanzia dakika 10 ya mchezo na kuendelea. So kama **** 2 tu wazungu hao, ipo kazi!
 
Kwa nini anamsimulia rafiki mambo kama hayo,na mume wako wa ndoa utamwambiaje
namba ataisoma,alimaanisha kuolewa au ili mradi tu,hata yeye inawezekana akawa sehemu ya tatizo na mwanaume anaamua kujifichia kwenye maandiko.
 
Mungu amuongoze na ampe nguvu za kufanya kazi aachane na mawazo potofu ayo
 
. . . . Ilikua ni leo wakati nimerudi mapema baada ya kwenda kijiweni na kukuta leo hakuna kibarua cha kuponda kokoto,tajiri alikua hajapata tenda.Nikaja mpaka home na kujilaza kwa machungu nikijua siku ya leo itakua ngumu sana,si hakuna hela ya kula!Wakati nipo ndani wapangaji wenzangu walijua sipo,pembeni ya chumba ninachoishi nimepakana na jamaa mmoja ambae ameoa,muda ule jamaa hakuwepo,alikuwepo mkewe.Ndipo nikiwa ndani nilisikia yule mke wa jamaa aliepanga chumba kinachopakana na changu akipata mgeni.Mgeni yule alikua ni dada ambae baada ya kumsikia sauti nikamfahamu,nyumba tuliyopanga haina siling bodi hivyo nilisikia yote waliyoongea. . . . . . . . .Yule dada mgeni baada ya salam na story kidogo akamwambia mwenyeji wake,"Mwenzangu ndoa yangu inanishinda" mwenyeji akamwuliza,"kulikoni?"dada mgeni akajibu "Si unajua ndoa yangu na mume wangu mlokole inatimiza miezi sita kesho,mh,yaani mimi na mume wangu kila tukifanya mapenzi,akipiga bao moja tu hataki kurudia,nikimwambia sijatosheka ananiambia,mke wangu maandiko yanasema tuwe na kiasi,tukizidisha ni ulafi.Na imekua ndo kauli yake kila siku,mi nimechoka"!Yule mwenyeji alitoa mguno wa mshangao kisha akampa pole,walizungumza mengi ila mwisho yule mke wa mlokole alisema "nampa miezi 6 asipojirekebisha ataisoma namba"kisha nikasikia mlango unafunguliwa kukawa kimya. . . . , .Nikajiuliza;hivi na ushamba wangu kumbe box manyoya nayo inaliwa kwa kiasieeeee au nyie mnasemaje waungwana?

Mkuu Eiyer acha fix, waponda kokoto na Matumizi ya Internet tena kwenye Nyumba isiyo na Ceiling Board...
 
Last edited by a moderator:
hapo ndipo 'compatibility' inapokuwa muhimu... kama libido kati ya spouses inatofautiana sana, hapo tegemea matatizo
 
Mkuu Eiyer acha fix, waponda kokoto na Matumizi ya Internet tena kwenye Nyumba isiyo na Ceiling Board...

Kwani cha ajabu ni nini hapo?
 
Last edited by a moderator:
Tendo la ndoa ni kwa wale waliofunga ndoa, kanisani, msikitini au ndoa ya kimila, Ngono ni mwanaume au mwanamke kuduu na mtu amabaye hajafunga nae ndoa (uzinzi na uasherati ndo ngono)

Tendo la ndoa na ngono kuna tofauti gani?
 
Back
Top Bottom