Jamani mmemuona Jide

Sasa hapo ujue ndo ana stress....anainvest katika kujipodoa ili amrushe roho Captain.....

Penzi likikolea Mtu hata mafuta hupaki....! Hapana chezea mapenzi...
 
Ila kapendeza jamani hadi nimemsahau na ile sura yake kama dume uwiiiiii warumi akiona hii nimeisha
 
Last edited by a moderator:

uuuwiii shoga usidanganywe na picha, usitake kumuona live hutaamini yani picha na yeye ni mbingu na ardhi tofautiiiiiiiii hizo ni makeup na filters kibao.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo ujue ndo ana stress....anainvest katika kujipodoa ili amrushe roho Captain.....

Penzi likikolea Mtu hata mafuta hupaki....! Hapana chezea mapenzi...

there u are nana she just try i denied her stress, jide ni mwanamke wa kawaida sanaaaaaaa, hanaga mvuto si wa sura wala shepu. kwani kusema ukweli ni chuki???
 
Hapana kwa kweli hajapendeza amekuwa mbaya makeup zimezid mno kawa kama bibi,bora angekuwa natural.
 
uuuwiii shoga usidanganywe na picha, usitake kumuona live hutaamini yani picha na yeye ni mbingu na ardhi tofautiiiiiiiii hizo ni makeup na filters kibao.

My dear,sisi tunaongelea picha sio uhalisia hivi ni vitu viwili tofauti..
Nani asiyejua jide ni mbovu wa sura?lakini anapotokelezea tusifie tu jamani japo uhalisia sio hivyo
 
ahaaaa! hapo nimekupata wangu, based on pics above yani she is mwaaaaaaaah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…