Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndo kapendeza?
Mbona mi naona kazidishiwa make up, ,
Huyu hata apakwe nini yeye ni mwanamke wa kawaida mnoooo hana uzuri wowote wa umbo wala sura
Ila kapendeza jamani hadi nimemsahau na ile sura yake kama dume uwiiiiii warumi akiona hii nimeisha
Sasa hapo ujue ndo ana stress....anainvest katika kujipodoa ili amrushe roho Captain.....
Penzi likikolea Mtu hata mafuta hupaki....! Hapana chezea mapenzi...
Na hata avae niniiii ,,,hua yupo kawaidaa tu ,,angekua anajipaka kidogo tuu
Sijaona alichopendeza kawa mbaya.
uuuwiii shoga usidanganywe na picha, usitake kumuona live hutaamini yani picha na yeye ni mbingu na ardhi tofautiiiiiiiii hizo ni makeup na filters kibao.
My dear,sisi tunaongelea picha sio uhalisia hivi ni vitu viwili tofauti..
Nani asiyejua jide ni mbovu wa sura?lakini anapotokelezea tusifie tu jamani japo uhalisia sio hivyo