petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
Mhh watu bana ...... Haya na sie vicheche cijui tusemeje
Na hata avae niniiii ,,,hua yupo kawaidaa tu ,,angekua anajipaka kidogo tuu
Mungu hakupi kila kitu ili usije kutusumbua
Mzee Mkira,
Ubarikiwe!
Mwenzangu kama sanam!Mbona mi naona kazidishiwa make up, ,
Wewe ni kicheche?
Mwanamke bila kuzaa ni ....... Hata apendeze vipi.
Mwanamke bila kuzaa ni ....... Hata apendeze vipi.
Mwanamke bila kuzaa ni ....... Hata apendeze vipi.
Mwanamke bila kuzaa ni ....... Hata apendeze vipi.