Jamani mmemuona Jide

Jamani mmemuona Jide

Naona kawa mtu mzima kama mwimbaji wa taarabu.
 
Yaani kupendeza ni mapoda yaliyorundikana usoni. Hii ni ajabu, yaani urembo wa kulazimisha ndo kapendeza. Ajab ya mwaka!
 
Mwanamke bila kuzaa ni ....... Hata apendeze vipi.

muombe MUNGU wako msamaha nna watoto wawili na nshapata miscourage mbili lakini simkashfu asiyezaa pleasssss kuzaaa majaliwa jamani tusifikie hukkkoooo
 
Inaonyesha jinsi gani wanawake tusivyopendana.watu watacomment hapa kuponda lakini ukikutanana nao live ni majanga
 
Back
Top Bottom