Jamani mmemuona Jide

Jama haya ni mamekapu tu ukiwa naye karibu ni sura ya kizee kabisa hata hivyo g.h aliivumilia sana
 
Nimegundua wanawake wengi especially wenye umri mdogo ( 20yrs-35yrs) huwachukia wenzao wenye mafanikio!

Huwaongelea vibaya wenzao hata kwa mambo ambayo yapo juu ya uwezo wa mwanadamu.....

Utasikia " ana sura mbaya,mweusi kama mkaa,hana shepu,mgumba,mwembamba kama kijiti,kichwa kikubwa,sura yakiume" na mengine mengi...

Sasa huwa najiuliza hivi wewe mwenye sura nzuri,shepu nzuri,mwenye kupata watoto na n.k lini ulimpa masharti Mungu kukuumba kama ulivyo?!

Binadamu tunajidanganyaga sana..... Hakuna mtu aliyempangia Muumba aumbwe kama alivyo.
...it is just "KOINSIDENSI" kuwa kama ulivyo hivyo huna haki yakumjadili mwenzako alivyo kimaumbile.....

Nitaelewa tukilaumiana kwa vitu vilivyochini ya uwezo wetu...kama utendaji kazi,kujishughulisha na nk

Mfano ukisema "Jide ni mvivu jamani,amekaa kula tu na kipiga umbea",hapo nitakuelewa ila sio jide anasura mbaya! Sasa alijiumba yeye?
—-----—★★★—---—------—★★
Binafsi nampenda sana jide coz anaonyesha njia kwa watoto wakike kwamba ukijituma utafanikiwa bila hata kutegemea kuhongwa kama wasichana wengi waleo wanavyotegemea.

Jide ametunza heshima yake kiukweli na unaweza ukaiona tofauti ya Jide na watu kama Ray C waliojiona wazuri.......
———--★★----——★★—--—★★
Ushauri.
★——-★
Wasichana mwangalieni jide kama mfano kwenu,acheni majungu na kumjaji jide vibaya.....

★UZURI UPO MOYONI KWA NJE MNAJIONGOPEA★.

Na kwa JIDE namwambia piga kazi kama kawaida yako,binadamu tuache tupige kelele tujifariji na umaskini wetu....

Usitushangae ni katika njia ya kujifariji na ugumu wa maisha ndo tunapokujadili jadili.★....
 

asante specialist umemaliza
 
Inaonekana wengi wanaomponda binti machozi ni 'wanawake' kweli wanawake hatupendani,hana sura nzuri,shepu mbaya,hana mvuto mmmh!!!! hazai,ulitaka akuzalie wewe?binadamu lazima ujifariji mwenyewe usitegemee faraja kutoka kwa mtu ndio maana Habash alijifariji jukwaani kwa kusema yuko single na kwa tabasamu pana,ila ukimtizama unaona kabisa sura inaongopa.
 
umri umeenda,saizi atafute wazee wenzie asibemende tena watoto wa umri wa Gardner....LEMUTUZ anamhusu
 

Nimekubari mkuu we maisha unayajua
 
umri umeenda,saizi atafute wazee wenzie asibemende tena watoto wa umri wa Gardner....LEMUTUZ anamhusu

Eti Lemutuz...! Who is Lemutuz by the way?!

Hivi ulishajiuliza Mzee John M. asingekuwa mzazi wa Lemutuz,Lemutuz angekuwaje?!

Kiufupi Lemutuz si mtu wakusikiliza au kutilia maanani anachosema... Ni mtu asiyejielewa...binafsi namjumuisha kwenye kundi la wasichana wasiowapenda wenzao wenye mafanikio( refer comment yangu ya juu)

Kwa hustle za Jide lemutuz hafikii hata robo.
 

wadada wanachukulia maisha kiurahisi sana. sijui hawawaoni wasanii wanaotegemea uzuri jinsi wanavyotapatapa mjini, umri unawatupa mkono na huku uzuri ukififia. jide hata angekuwaje, si wa kulinganishwa na wasanii wasiojitambua.
anyway... sidhani kama watakuelewa
 

Unafikiri hawaelewi?!!

Wanaelewa sana sema katika kujifariji na ugumu wa maisha hujikuta wanawaongelea vibaya wenye mafanikio.....!
 

True saying
 
muombe MUNGU wako
msamaha nna watoto wawili na nshapata miscourage mbili lakini simkashfu
asiyezaa pleasssss kuzaaa majaliwa jamani tusifikie hukkkoooo

Nampenda sana huyu Mwanamke, hata kama hazai, kwangu priority ni yeye! Natamani ningemfahamu kwa ukaribu walau kidogo! She's so interesting to Me!
 
donestic violance hapana naipinga kwa nguvu zote goooooooo Jibe mbna umekaa kimya mpaka kidole kimepona?
 
Yaani kupendeza ni mapoda yaliyorundikana usoni. Hii ni ajabu, yaani urembo wa kulazimisha ndo kapendeza. Ajab ya mwaka!
Bila kusahau 360 inahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…