Jamani mmemuona Jide

Lazima kampata kiNuhu mziwanda chake sasa masharti na vigezo hivyo.
 
sasa kapendeza nini hapo,sura imemkomaa kama kameza wembe,makeup hizo,weka icha akiwa natural kama watu hawatamkimbia humu jamnvini
 
Frankly, she is not that beautiful no matter what she wear
 
Kwakweli hizi za mwisho picha imemtendea haki, bali zile za juu make up imezidi. Naona siku hizi ana furaha, anapiga picha kama mwanamke sio zamani akipiga picha anaonyesha alama za ubabe mf anakonda, commando style.
 
leo kwake....kesho kwako,kwa ndugu yako wa karibu mdomo unaumba aiseee

Well said.
By the way hilo hata halihusiani na mada. Sijui watu huwa wanapata wapi nguvu ya kunyoshea wenzao vidole katika hili.

Hujafa hujaumbika
 
Well said.
By the way hilo hata halihusiani na mada. Sijui watu huwa wanapata wapi nguvu ya kunyoshea wenzao vidole katika hili.

Hujafa hujaumbika

Na wanasahau kama kidole kimoja anakinyoosha kule ili hali vinne vinamtazama yeye....asilimia 80 kwake.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…