Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa tunawanga wote...mfyuuu!narudia tena too much make up...nimwonee wivu mtu ambaye yupo ulimwengu mwingine mbali na maisha yangu we vipi!!kanunue ugomvi kwingine sitaki shobo!!
Hunipati ng'oo.Jinyonge sasa chefuuuuuy
leo kwake....kesho kwako,kwa ndugu yako wa karibu mdomo unaumba aiseee
Kiukweli Jide tokea aachane na Gadner amekuwa akipendeza siku hadi siku sasa sijui ndoa ilikuwa inamtia stress au vipi.
View attachment 202529View attachment 202530
Well said.
By the way hilo hata halihusiani na mada. Sijui watu huwa wanapata wapi nguvu ya kunyoshea wenzao vidole katika hili.
Hujafa hujaumbika