Jamani moyo kwanini unamkataa huyu?

Jamani moyo kwanini unamkataa huyu?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari zenu wanajamii forum
Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu binti hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa yeye anaonyesaha ananipenda sana mpaka anajua kwamba nitamuoa lakini niseme ukweli mimi hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa namfahamu hadi mama yake mzazi na yeye ameweka karibu asilimia 90 anajua mm ni mtu wake,lakini moyo wangu unakataa jamani kwani nilikuwa namtamani tu,lakini yeye ananiambia ananisubiri nimalize ishu zangu za kutafuta maisha.Kiukweli anajali lakini tatizo moyo wangu unakataa maana mwili unamtamani lakini akili inakataa kuwa mwenza wangu wa maisha.Jamani moyo wa mtu ni kiza kinene.Naombeni ushauri nifanyeje ili nimpoteze mawazo yake ya kuishi na mimi japo nataka aishi na mimi kama rafiki yangu ila sio mke wangu.
Nawasilisha
 
Utoto unakusumbua, hata iyo andika "x badala ya z au s" inadhihirisha wewe ni kivulana..hata huyo binti hajielewi huwezi tegemea mvulana awe mume...ngoja nilale labda utashauriwa na wavulana wenzio
 
Simple...just tell her the truth in no uncertain terms.
 
Utoto unakusumbua, hata iyo andika "x badala ya z au s" inadhihirisha wewe ni kivulana..hata huyo binti hajielewi huwezi tegemea mvulana awe mume...ngoja nilale labda utashauriwa na wavulana wenzio
Typing errors mkuu,nisamehe kwa hilo
 
Kaka ila una busara sana! But its better ukamuandalia mazingira ya kumuacha..maana mmekaa mda mrefu , ila sababu hujamzalisha na ww huna hisia nae bora umuache...but utamkumbuka, kigezo hapo ni kwamba mmezoeana hata kama humpendi! Itakuletea shida kiasi flani
 
Kweli kaka nikawa najiuliza nitakaa nalo hili mpaka lini...mapenzi bwana siri nzito kujua mpenzi wako anakupenda ni kitendawili
 
Habari zenu wanajamii forum
Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu binti hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa yeye anaonyesaha ananipenda sana mpaka anajua kwamba nitamuoa lakini niseme ukweli mimi hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa namfahamu hadi mama yake mzazi na yeye ameweka karibu asilimia 90 anajua mm ni mtu wake,lakini moyo wangu unakataa jamani kwani nilikuwa namtamani tu,lakini yeye ananiambia ananisubiri nimalize ishu zangu za kutafuta maisha.Kiukweli anajali lakini tatizo moyo wangu unakataa maana mwili unamtamani lakini akili inakataa kuwa mwenza wangu wa maisha.Jamani moyo wa mtu ni kiza kinene.Naombeni ushauri nifanyeje ili nimpoteze mawazo yake ya kuishi na mimi japo nataka aishi na mimi kama rafiki yangu ila sio mke wangu.
Nawasilisha

badili namba yako ya simu kimya kimya
 
Fuata moyo wako unakuonyesha nini watu wamejuta sana kwa kiona diwezi muacha kisa nipo nae tangu tangu sijui mwaka,,,,,,201...
 
usisubiri kesho hii text uliyoandika ifanyie editing ulipoweka haumtaki huyu bint weka jina lake halafu itume kwake atajiongeza akiuliza kwanini unairudia hyohyo
 
Back
Top Bottom