Jamani mshahara wa May 22 vipi

Jamani mshahara wa May 22 vipi

Kumbe naye ni mccm tu
Achà matusi hayo. Nilizaliwa kabla ya TANU na sikujiunga nayo ingawa nili support harakati zake za uhuru. then ikaja CCM , nikaikataa maana policy za Nyerere sikuzipenda na mpàka leo maana sioni la maana. After all Uhuru ungelikuja since we were a protectorate under British guardianship
 
Back
Top Bottom