Kelele zote kuitukana serikali na chamaKumbe we nawe ni mtumishi wa serikali? Heh!!!!!;
Kumbe naye ni mccm tuKelele zote kuitukana serikali na chama
Ndio sababu ametoa tahadhari kabisa kwamba "matusi yote atayajibu"...๐Kelele zote kuitukana serikali na chama
๐๐๐Sandali Ali ๐๐๐
Nani kakwambia, I am sure nilistaafu hujaliwa.Kumbe we nawe ni mtumishi wa serikali? Heh!!!!!;
Serikali katili lazima isemwa, Hakuna anayeitukana, Bali tunaisema na maovu yake.Kelele zote kuitukana serikali na chama
Achร matusi hayo. Nilizaliwa kabla ya TANU na sikujiunga nayo ingawa nili support harakati zake za uhuru. then ikaja CCM , nikaikataa maana policy za Nyerere sikuzipenda na mpร ka leo maana sioni la maana. After all Uhuru ungelikuja since we were a protectorate under British guardianshipKumbe naye ni mccm tu
Na kweli najaribu kuyajibu.Ndio sababu ametoa tahadhari kabisa kwamba "matusi yote atayajibu"...[emoji12]