Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
kiongozi tia neno
Tamu sanaKwani nyama yake inaliwa?
Sijawahi kuilaTamu sana
Karibu, sie kila wikienda huwa twala nyama ya ngamia na kunywa maziwa yakeSijawahi kuila
Mnyamwezi ametuliaZilipendwa
View attachment 3390420
Semaji lenyewe lilipelekewa home 10kg,wewe ulikuwa umelala pole.Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi..
Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au?
Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili wakuu maana yule tayari alikuwa alama yetu wekundu?
Je kama ni kweli je kanuni hazijakiukwa kweli hapo?
View attachment 3389491
Kijiji gani huko kuna nyama ya ngamia?Karibu, sie kila wikienda huwa twala nyama ya ngamia na kunywa maziwa yake
Karibu kwanza, sie huku tunakula sana nita share location tuKijiji gani huko kuna nyama ya ngamia?
Kwani nyama yake inaliwa?
Mimi nilijua supu hii ya ng'ombe
ni ngamia kiongozi sio mbuzi wala ng'ombeMimi nilijua supu hii ya ng'ombe
Jangwani na MsimbaziKijiji gani huko kuna nyama ya ngamia?
hii mpya mkuuSemaji lenyewe lilipelekewa home 10kg,wewe ulikuwa umelala pole.
Simba acheni wivu,mngetaka kula nyama na supu ya ngamia mngeshinda mechi zenu kama sisi..