Jamani Mungu anawaona kwa mnayowafanyia kondoo hawa!

Pole sana mkuu
 
Unavyokataa kumtaja maana yake unabariki matendo yake Kwa kukataa kumtaja.

Kama habari Yako ni ya kweli unaogopa Nini kumtaja Sasa
Atakatazwa kuingia kanisani,huyo ni muumini wake na huenda nae aliyozwa🏃
 
Mnaichosha serikali kwasababu ya ujinga wenu.
 
Vyote hata Biblia matapeli wako kila sehemu zisipotumika vibaya!

Qur'an na biblia ni vitabu viwili tofauti, narudia tena, QUR'AN itabakia kuwa QUR'AN, QUR'AN ni tiba, QUR'AN ndio kila kitu. Tena msifananishe QUR'AN na vitabu vingine. Ni hayo mkuu Kimwakaleli

Kwema huko babaa?
 
Nani huyo
 
Wajinga ndio wapigwao.
Haya makanisa ya kisasa yanchota akili za waumini na kuwafanya msukule kabisa. Gwajima alionekana kwenye clip anajirikodi huku anafanya zinaa lakini bado waumini wake walibisha na kusema siyo yeye!
 
Watu wanaojiita "walokole"sijawahi kuwaamini kabisa,Sina Nia ya kukejeri imani ya watu,ila Hawa "wapendwa"ni baadhi yao ni nyoko kabisa,wabaguzi,much know nyingi,Elimu Duni basi wao kila kitu ni kumeza tu,na kila Swala linatatuliwa na miujiza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…