Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna majin yanatumia jfNdio ukome, bora ungemuoaga wizo bichwa yote yasingekukuta
Ebwanawee kumbe ni low cutNna low cut nimetoka kunyoa juzi, wig la nini mimi?? Nani anataka kujipiga ngumi kichwani, mwisho ubongo uhame bure 😹😹😹
Haiwezekani napenda kwanza nije nilione lolote ni hi tu😇Balkis
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillahMashoga hawo ukilikutaniza linyandue tu maana yashakuwa mengi👶🧭
😂😂😂😂😂 Et dada angu mweehLabella msikilize huyu
Ana mapepo si bure 😂 😂 😂
😆😆😆Ndio ukome, bora ungemuoaga wizo bichwa yote yasingekukuta
Wewe dadaAchana naye
Mkuu ujue nini....Sema hilo pepo lishatoka .Kilichobaki ni kipepo cha ushoga ,Sasa tuwapige posto za nani ????Au tuwa nanilii?😂🤣🧤
😆😆😆Na wewe umekamia kabisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kumbe weee sio mwana
Wapi huko kaka ambako ushafika???😅😂😅Mkuu ujue nini....
Kule kunatisha 😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏
Au sioooEeh mwaya kusuka kichwa kinauma, na kinatunza uchafu.!!
Ila wig nagonga siku moja moja 😹
Serious wee sio mwana...
Duuuh umeniita 'Mwaya'? Mimi ni straight Wewe sio upinde usiniite MwayaEeh mwaya kusuka kichwa kinauma, na kinatunza uchafu.!!
Ila wig nagonga siku moja moja 😹
😂😂😂😂😂 Kwa mama bonge mkuuWapi huko kaka ambako ushafika???😅😂😅