EDIGAR JO
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 422
- 444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo hivyoMkuu![]()
Na mm nikalale sasWewe unakimbilia Wapi Mimi ndio nimeamka
Sema nini walio oa wanafaidi, 🙃🙃🙃 OyNdio hivyo hivyo
Wewe tuliza kijaza upepo hichoSema nini walio oa wanafaidi, 🙃🙃🙃 Oy
Luna hawa sentine sasa 😂
Ntakutia makofiKuna tule tuu tamu wana 💩💩💩💩
Basi kaka naacha😂🤣😂Ntakutia makofi
Unagharamiwa kwani wewe ni mfugo?Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
ThubutuNakanyagia wote hao we waache 😹😹😹
Ndiooo kwangu facebook wengi ni real id hata mie nipo real hukoIla watu wa JF bhana kama vile matahira, kwahy JF pekee ndio kuna fake ID ila hy mitandao mngn yote n real ID?
Pole ila ondoa hilo kichwaniNdiooo kwangu facebook wengi ni real id hata mie nipo real huko
Wewe umeelewa sasa mkuuKumbeee aaah
Me nilielewa jamaa wa humu jf kamuomb appointment kwa kuzingatia 🆔 sasa ile kuja kuonana sasa aisee jamaa hajaelwa mchongo
Au sioo wakuu@chinese blade Django doer
Kuna nini tena huko Praiveti rumuHumu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
Kamaanisha mnaomsalandia huko PM kwa sababu ya kuona Avatar kuweni serious sio yeye, yaani hafananii na huyo, mkajipa presha bureSijaelewa kamaanisha nn
Tulia uandike ueleweke...Jf siku hizi imevamiwa na Standard 7Humu wengi wanachekesha, jameni mjue kuwa nyie hampo serious kweli mnaamini picha za avatar. Haya basi kama mnataka mtu awe utakavyo siunagharamia sasa mtu kafikia alipofikia ubashangaa what niwewe ,?? Eh kwani nimegharamiwa ili nipendeze what if naona mi nilivyo nipo sawa.
Hi sio facebook unaweka real life . Hii ni jamii forum unaweka picha uipendayo na sio wewe ni umeipata tu huko so msi kariri maisha.
Kwa nini usijigharamie mwenyewe ili uache kusumbua watu humu.Ndio gharamikieni wadada wengi si wabaya ni wazuri na wanahitaji wagaharamiwe wapendezee
bibi wa bibi yangu,ila ni bibi yake huyo bibi wa bibi yangu 😌hapo vipHebu anza upya....😦😦😦