Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mwandiko sio mgeni machoni mwangu😂😂Aliyeelewa pls
Ni yule yule Jana Leo n.k maua ktk Moja na mbiliMbona mwandiko sio mgeni machoni mwangu😂😂
Anajishtukia tu waungwana siku hizi hawana mda na utelezi fakeKamaanisha mnaomsalandia huko PM kwa sababu ya kuona Avatar kuweni serious sio yeye, yaani hafananii na huyo, mkajipa presha bure
Kwakweli😂😃😃. Hajai kuelewekaNi yule yule Jana Leo n.k maua ktk Moja na mbili
Tatizo anaandika mada akiwa na 💦💦 nyingiKwakweli😂😃😃. Hajai kueleweka
Mimi nilipofikia ndio uwezo wangu nyie ndio mnasumbua mnataka watu wawe malaika kama hutaki usumbufu basi ridhika na hali halisi ya mtuKwa nini usijigharamie mwenyewe ili uache kusumbua watu humu.
Mie mzuri sana tu nikiamua kuwa kizungu walai mafataki hawapumziki kusumbua ila nilichokaga nikawa bush ladyKamaanisha mnaomsalandia huko PM kwa sababu ya kuona Avatar kuweni serious sio yeye, yaani hafananii na huyo, mkajipa presha bure
5Tulia uandike ueleweke...Jf siku hizi imevamiwa na Standard 7
Pole sana kwa usumbufu, hao wanaokusumbua ndiyo tatizo kumbe. Hao wanotaka uwe wanavyotaka wao, ni lazima waingie hizo gharama, nakuunga mkono 100%.Mimi nilipofikia ndio uwezo wangu nyie ndio mnasumbua mnataka watu wawe malaika kama hutaki usumbufu basi ridhika na hali halisi ya mtu
😂😂😂😂😂,. Kwahiyo unataka kuniambia vijana wote humu mmeshindwa kumtuliza eti🤓🤓Tatizo anaandika mada akiwa na 💦💦 nyingi
Nguvu za kiume hawana😂😂😂😂😂,. Kwahiyo unataka kuniambia vijana wote humu mmeshindwa kumtuliza eti🤓🤓
Umeshawajaribu wangapi mpaka sasa humu JamviniNguvu za kiume hawana
Hili linawezekanaNguvu za kiume hawana
HakunaUmeshawajaribu wangapi mpaka sasa humu Jamvini
Wanaotamani kua na Cc humu watadeal nae mm 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂,. Kwahiyo unataka kuniambia vijana wote humu mmeshindwa kumtuliza eti🤓🤓