JAMANI Mwanafunzi Mwenzenu Naomba Ushauri.

JAMANI Mwanafunzi Mwenzenu Naomba Ushauri.

Ungekua na hizo akili unazojitambia ungekumbuka kuandika na kuweka pragraphs.Hadithi za kutunga kamuuzie Shigongo
 
Duuuuh kweli wanawake wana Siri nyingi yaani kutafuta elimu kumeafanya uwe mtumwa wa mapenzi na kuuza utu wako kiasi hicho?? kama mzazi wako ana uwezo wote huo na umeshindwa kujinasua na huu mtego je itakuwaje kwa mtu ambaye ni maskini na anategemea Elimu imuokoe??......najifunza kitu hapa and for your story I RESERVE MY COMMENTS.
 
Wayahudi tunajua wako juu ila wewe mnnnnnnnnh unapata degree kwa ngono! wewe mmachame rudi nyumbani unywe mtori vinginevyo akikupa mimba ndiyo utajua nyau siyo mboga au hakuna shida sababu mother alishaonyesha njia.....kazi kwako.
 
"tulikutana na watu wa Uganda na Kenya mahali hapo nilijifanya sizungumzi kabisa Kiswahili" unajua kuigiza kweli maana hata hapa jf umejifanya hujui kiswahili unajibu kwa kiingereza!na kwamba umetafsiriwa na friend! wengine waweza wadanganya ila nafsi yako huwezi idanganya.
 
i realy like your mathematics idea! chezea watu wa pure ww utaumia mwenyew! what about this! all sangas are kingas but not all kingas ar sangas!
Inapplicable to the JEWS whenever a Jew steps amongst other races, other races are simply outsmarted!
 
"tulikutana na watu wa Uganda na Kenya mahali hapo nilijifanya sizungumzi kabisa Kiswahili" unajua kuigiza kweli maana hata hapa jf umejifanya hujui kiswahili unajibu kwa kiingereza!na kwamba umetafsiriwa na friend! wengine waweza wadanganya ila nafsi yako huwezi idanganya.
Narudia tena Ndugu Mtanzania, nazungumza Kiswahili but am not good at it, let your frozen brain think, achilia bongo yako ifanye kazi!
 
Wayahudi tunajua wako juu ila wewe mnnnnnnnnh unapata degree kwa ngono! wewe mmachame rudi nyumbani unywe mtori vinginevyo akikupa mimba ndiyo utajua nyau siyo mboga au hakuna shida sababu mother alishaonyesha njia.....kazi kwako.
If you can read my story and let your brain think! you will understand my point I refute your idea basically I'm maintaining a strong GPA since my first year out of own effort... am proud of my heritage as a chagga, mtori is our proud soup, am prepared to be a mother as long as am a girl so pregnancy is not an issue!
 
Duuuuh kweli wanawake wana Siri nyingi yaani kutafuta elimu kumeafanya uwe mtumwa wa mapenzi na kuuza utu wako kiasi hicho?? kama mzazi wako ana uwezo wote huo na umeshindwa kujinasua na huu mtego je itakuwaje kwa mtu ambaye ni maskini na anategemea Elimu imuokoe??......najifunza kitu hapa and for your story I RESERVE MY COMMENTS.
I wish you could walk within my shoes my dear, it is not my fault.
 
Sasa wewe kwa nini usiombe ushauri kwa wayahudi?? Maana hapa naona unaendekeza akili zenu za kiyahudi za kuona watu wengine wote hawana akili. Halafu wewe ukienda kwa wayahudi na kujishebedua kwako wala hawakutambui!!!
 
Uongo mtupu...

you have intered in a serious problem but for sure keep enjoy with him otherwise you will disco.but be careful coz you are playing near the lion's mouth;yet you are so weak to defend yourself remember GOD IS THERE WAITING FOR YOU
 
Sasa wewe kwa nini usiombe ushauri kwa wayahudi?? Maana hapa naona unaendekeza akili zenu za kiyahudi za kuona watu wengine wote hawana akili. Halafu wewe ukienda kwa wayahudi na kujishebedua kwako wala hawakutambui!!!
I'm not fighting for recognition young man!
 
I'm not fighting for recognition young man!
Acha dharau wewe eti young man, unajua umri wangu wewe??!!! Na kama hutafuti umaarufu kulikuwa na haja gani ya kusema wewe ni myahudi, mara mama kalala na mwingereza kisha mjerumani?? Hivi unadhani wanajamvi kujua mama yako kalala na wanaume wa aina gani inasaidia nini katika kukupa ushauri kwenye hili suala lako??!! Halafu kuna sehemu umesema kuwa myahudi mara zote ni akikaa na wengine lazima awazidi!!! Mi ndio nasema kama ni hivyo, kilichokuleta humu ni nini??!! Si uongee na wayahudi basi wakupe majibu, wewe na hao wayahudi si mko smart?? Au unatafuta wayahudi walioko humu wakusaidie???
 
Back
Top Bottom