jamani mwenye posible mitihani ya form 4 atupie hapa

jamani mwenye posible mitihani ya form 4 atupie hapa

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
 
usitake kuwapanikisha watoto wenzio. soma kwa bidii ndo siri pekee ya kufnikiwa.
 
Yaani huu ni upuuzi sana yaani miaka minne yote hukusoma?
Just a loser

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Soma notes zote za kuanzia form one paka form four ndo possible zenyewe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hahahahaha tatizo hamjajua kwa nini nimeweka uzi huu.nataka kujua ngalichako ni kweli toka apewe uongozi hajawahi kuvujisha pepa ?
 
sisi enzi zetu kama sahz kunafeki za kutosha mtaani
 
Achana na feki wewe utaumia matokeo yake ukikuta sio lenyewe unaanza kuandika bongo fleva kwenye paper
 
what are the causes n effects of ww2 in africa
 
-Explain the efect of mimba in secondary school
-Mention vilaza of jf
-PM me phone nomber of your sister i want to show her good way of life
Zisipotoka hizi basi tena
 
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.Utavuna ulichopanda! achana na possible unaweza ukala matango pori.
 
Unaweza kukuta huyo ni mzazi anaulizia papers kwa ajili ya mwanae. Miaka yote minne kama wanao alikua anacheza na kuimba bongo fleva badala ya kusoma imekula kwako.
 
what are the causes n effects of ww2 in africa

saii wataulizwa current cases kama
what is the causes,effect and solution of middle east crisis
the role of Un to bring obot political stability
ni mtazamo wangu
 
Unaweza kukuta huyo ni mzazi anaulizia papers kwa ajili ya mwanae. Miaka yote minne kama wanao alikua anacheza na kuimba bongo fleva badala ya kusoma imekula kwako.

alafu unakuta mtoto alifanyiwa bonge ya graduation kama arusi mwisho wa siku anataga yai
 
hahahahaha tatizo hamjajua kwa nini nimeweka uzi huu.nataka kujua ngalichako ni kweli toka apewe uongozi hajawahi kuvujisha pepa ?

huyo Ngalichako ndo nani?? Acha utoto,hapa sio Fb
 
Back
Top Bottom