kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
ndio nani HUYU????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
alafu unakuta mtoto alifanyiwa bonge ya graduation kama arusi mwisho wa siku anataga yai
usipende short cut.soma mtoto
Mkuu umenichekesha sana eti anataga yai. Lol!
hahahahaha tatizo hamjajua
kwa nini nimeweka uzi huu.nataka kujua ngalichako ni kweli toka apewe
uongozi hajawahi kuvujisha pepa ?
ni ngalichako au ndalichako?hahahahaha tatizo hamjajua kwa nini nimeweka uzi huu.nataka kujua ngalichako ni kweli toka apewe uongozi hajawahi kuvujisha pepa ?
Kama hukujiandaa kufaulu, basi jiandae kufelikesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
hahahahaha tatizo hamjajua kwa nini nimeweka uzi huu.nataka kujua ngalichako ni kweli toka apewe uongozi hajawahi kuvujisha pepa ?
kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli
huyu naye ni nani!!kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli