jamani mwenye posible mitihani ya form 4 atupie hapa

jamani mwenye posible mitihani ya form 4 atupie hapa

Swali ambalo ni Certain
1.How many official and non official visits has JK made overseas so far and to what extent have they been detrimental to the lives of Tanzanians? (60 Marks.)

baadae watakuambia mtihani wa CIVICS walitunga nje ya silabasi..:lol:
 
kesho form 4 wanaanza mitihani ya mwisho,najua mtaani sahz pepa zmemwagwa mbya wakidai ndo yenyewe ya ngalichako,mwenye nazo hzo posible atupia hapa Jf tuone kama ni zakweli

hopeless...loser...
 
Possibles are found in course books and suplemantary books
 
Kakojoe ulale dogo hapa hamna cha pepa wala nini na ngalichako wako
 
aah kumbe pepa mbna unalo wewe kachek madaftar yako soma yote thna nenda kwa pepa utakuta baadh ya maswal walishndwa k toa yote c unajua uhaba wa pepa za kuchapia
 
Back
Top Bottom